Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

Mimi nimeahirisha Ibada ya Hija kutokana na ulazima wa chanjo

nafsi yangu imekataa mara zote tena kwa ushindi wa kishindo wazo lolote la kuchanja

nafanya mazoezi,naimarisha usafi wa mwili ikiwemo mikono, kujichanganya najichanganya sana na pia naimarisha misosi yenye lishe bora2

chanjo kwa kuwa si lazima basi hata familia yangu nimeishauri isichanje
 
Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona

Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam


03 May 2022

REC: SHUHUDIA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI KATIKA BARAZA LA EID KWA MARA YA KWANZA

 
03 May 2022

BARAZA LA EID EL FITR 2022 MH. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZIA SUALA LA COVID/ UVIKO

 
Fedha za misaada na za kukopa kuhusu Corona bado zipo na chanjo pia bado zipo tujiandae kuchomwa chanjo japokuwa ulaya wanasema corona iliisha baada ya Urusi kuvamia Ukraine
 
Sasa hata mimi nimeamini, kama bado anazungumzia chanjo ya korona, kweli mama anaupiga mwingi 😂😂
 
Back
Top Bottom