Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
280
Reaction score
526
Mh. Rais wetu shikamoo Mama.

Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania.

Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi.

Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami niweze kuingia twitter.

Natanguliza sana Mama. October Inatiki.
 
Serikali ya kijinga sana hii, inafungia mtandao ambao na yenyewe tena viongozi wanautumia huo huo tena kwa uwazi kabisa!.

Huyu mama anapiganiwa kwa gharama kubwa mnoo haijapata kutokea!
 
Serikali ya kijinga sana hii, inafungia mtandao ambao na yenyewe tena viongozi wanautumia huo huo tena kwa uwazi kabisa!.

Huyu mama anapiganiwa kwa gharama kubwa mnoo haijapata kutokea!
Jasho na damu. Atatoboa kweli?
 
Kenge tena tumegeuka kuwa walevi...

Viongozi mnaotuita haya majina tukiwapa na ninyi msije kusema hatuna nidhamu tunatukana viongoz.

Mkishndwa kujiheshim, Hamta heshimika kamwe..
 
Back
Top Bottom