Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

Rais Samia tunaomba VPN unayotumia kuingia mtandao wa X

Kenge tena tumegeuka kuwa walevi...

Viongozi mnaotuita haya majina tukiwapa na ninyi msije kusema hatuna nidhamu tunatukana viongoz.

Mkishndwa kujiheshim, Hamta heshimika kamwe..
Wao wana haki ya kutukana na kutweza utu wa wengine.
 
Mh. Rais wetu shikamoo Mama.

Nimejaribu kuingia twitter au X kukutetea dhidi ya hawa wanao comment no Reforms No Election lakini nimeshindwa sababu imefungiwa Tanzania.

Nina dhamira ya kwenda kupambana na hao Kenge, Wapuuzi na Walevi.

Ombi langu kwako Mama nisaidie kupata VPN unayotumia nami niweze kuingia twitter.

Natanguliza sana Mama. October Inatiki.
Rais Samia hatumii X wala hajawahi kuitumia.
 
Kutumia VPN ni kosa kisheria,kua makini utatiwa mbaroni.
Kwa mujibu wa tcra, kutumia VPN si kosa bali uwe na kibali au sababu ya kutumia.

Kuna watu kila siku lazima watumie na si kwa ajili ya X bali kuna mitandao mingi ili kufanya kazi lazima uwe na VPN
 
Kwa mujibu wa tcra, kutumia VPN si kosa bali uwe na kibali au sababu ya kutumia.

Kuna watu kila siku lazima watumie na si kwa ajili ya X bali kuna mitandao mingi ili kufanya kazi lazima uwe na VPN
Mpaka mtu anatumia VPN tayari ana sababu ya kufanya hivyo..
 
Back
Top Bottom