Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Yaani mama ndio akupe vpn, seriously
Kwani Mama anapataje X bila VPN?Kutumia VPN ni kosa kisheria,kua makini utatiwa mbaroni.
Mimi naomba mama anisaidie VPN nikampambanieHii kitu inachekesha. Ni kama mbuni anayeficha kichwa mchangani huku mwili upo wazi
Aisee? Kwa hiyo sisi wazalendo tufanyejeVPN ni special kwa mafisadi
Jasho na damu. Atatoboa kweli?Serikali ya kijinga sana hii, inafungia mtandao ambao na yenyewe tena viongozi wanautumia huo huo tena kwa uwazi kabisa!.
Huyu mama anapiganiwa kwa gharama kubwa mnoo haijapata kutokea!
Rais yeye yupo juu ya sheria?Kutumia VPN ni kosa kisheria,kua makini utatiwa mbaroni.
Tujibane hapa JFAisee? Kwa hiyo sisi wazalendo tufanyeje
Kwa kweli. Japo JF nayo haiko huru kivile maana kuna nyuzi kila nikipandisha wanafuta.Tujibane hapa JF
Mama atupe connectionTujibane hapa JF
Ndio hapa sasa. Atupe tu VPN tukamsifieRais yeye yupo juu ya sheria?
Asali mkuuKwa kweli. Japo JF nayo haiko huru kivile maana kuna nyuzi kila nikipandisha wanafuta.
Wako biased kwa sasa tofauti na zamani.
Changamoto kubwa. Kumbe huwa wanatenda Hali katika utawala kama wa JPM ambao hauwalambishi asali.Asali mkuu