Rais Samia tuongoze mpaka mwaka 2045 Mimi kama msemaji wa wananchi nakuomba

Rais huyu mpendwa amaeshushwa na mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari samia suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045 mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Maumivu yakizidi kamuone daktari.
 
Pale akili yote ikitoka kichwani na kuhamia tumboni, matokeo yake ndiyo haya sasa.
Usimshambulie mkuu, yupo upande wetu, ameandika kutumi lugha ya DHIHAKA ,yaani kifupi hamkubali Mama Abdul, ndicho anachomaanisha.
Angalia ametumika me "mungu" herufi ndogo, angekuwa anamaanisha muumba angetumia herufi kubwa "Mungu" jamaa Yuko vizuri kwenye KINAYA kumaanisha tofauti 😅😅😅🚴🚴🚴 apewe maua yake
 
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045

Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Kuna Nabii mmoja amesema kati ya awamu 6 zilizo na zinazotawala Tanzania,4 tayari hazipo....na moja itafutika mwezi October kuwafuata wale wanne.
 
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045

Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Wasemaji wa wananchi wanachaguliwa, wewe huna mandate , hujawahi kuchaguliwa na huna mamlaka hayo. Punguza kujipa tittles
 
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045

Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Nyie mnamuombea nuksi tu Magufuli mlianza hivi sasa yuko wapi?
 
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045

Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Katiba yetu ilivyo Tanzania, hata wewe unaweza kuwa Rais, ni vile tu umeamua kuwa mjinga wa hoja na chawa mkomavu.
 
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045

Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki
Hicho kikao kilichokuteua kuwa msemaji, hakikuwa na mamlaka ya wananchi. Labsa msemaji wa machawa
 
Back
Top Bottom