Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Hauko sawa kichwani. Huwezi kutamka hili liongoze hata wiki moja kama wewe si jinga au tapeli. Huenda wewe ni jinga au tapeli ni Bora mungu akuchukue majinga yapungue nchini. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaRais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045
Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua wapinzani ni matapeli ndio maana wanakukubali rais wetu mpendwa mtenda haki