Rais Samia tuongoze mpaka mwaka 2045 Mimi kama msemaji wa wananchi nakuomba

Maumivu yakizidi kamuone daktari.
 
Pale akili yote ikitoka kichwani na kuhamia tumboni, matokeo yake ndiyo haya sasa.
Usimshambulie mkuu, yupo upande wetu, ameandika kutumi lugha ya DHIHAKA ,yaani kifupi hamkubali Mama Abdul, ndicho anachomaanisha.
Angalia ametumika me "mungu" herufi ndogo, angekuwa anamaanisha muumba angetumia herufi kubwa "Mungu" jamaa Yuko vizuri kwenye KINAYA kumaanisha tofauti 😅😅😅🚴🚴🚴 apewe maua yake
 
Kuna Nabii mmoja amesema kati ya awamu 6 zilizo na zinazotawala Tanzania,4 tayari hazipo....na moja itafutika mwezi October kuwafuata wale wanne.
 
Wasemaji wa wananchi wanachaguliwa, wewe huna mandate , hujawahi kuchaguliwa na huna mamlaka hayo. Punguza kujipa tittles
 
Nyie mnamuombea nuksi tu Magufuli mlianza hivi sasa yuko wapi?
 
Katiba yetu ilivyo Tanzania, hata wewe unaweza kuwa Rais, ni vile tu umeamua kuwa mjinga wa hoja na chawa mkomavu.
 
Hicho kikao kilichokuteua kuwa msemaji, hakikuwa na mamlaka ya wananchi. Labsa msemaji wa machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…