Uzuri ni kwamba hakulazimishwa ni sawa chanjo ambazo halazimishwi mtu, wapo ambao walitumia hayo malimao na wana ushuhuda wao na sie wengine hatukuangaika na malimao na wala hatuna mpango wa kuangaika na chanjo.Hata ingekuwa lazima bado ukitumia utaonekana mwendawazimu tu. Kuna mambo mengine common sense tu inakuambia huu ni ujinga. Mwendazake alikuwa amegeuza nchi ikawa kama ya mataahira watu wanakimbizana na malimao na tangawizi!
kwanza jiulize tu mfano mdogo hapo uganda au nchi nyingine jirani ambayo wamechanjwa kwanini maambukizi yapo palepale na haohao waliochanjwa ndiyo wanauguwa? mtangulizeni mungu mbeleNajiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Ndio ziletwe mnaotaka kuchoma mchomwe na sio kuanza kusema malimao hivi sijui vile kama vile kuna aliyelazimishwa kutumia hizo tangawizi.Kwani sasahivi kuna mtu amelazimishwa kutumia chanjo?
Kwa hiyo huyo beberu ameshindwa kabisa kupiga fedha zetu kwa njia nyingine kabisa akaona afanye mahoka ya corona ili apige fedha? Alishindwa nini kutupiga kwenye bidhaa nyingine anazotuuzia? Ukumbuke huyo huyo beberu anatupa msaada mkubwa kila mwaka! Pia mazo yetu ananunua mengi tu.Mzee mdiliko, hakuna cha chanjo mbili wala tatu.....hiyo ni biashara endelevu ya mabeberu, yaani itafikia watu wataishi kwa kutegemea chanjo ambayo utatakiwa kudunga kila baada ya miezi 6 na hapo ndo beberu atapiga pesa kwani hatatoa chanjo za msaada kama anavyofanya sasa. Na ataweza ku enforce hii kwa kuweka restrictions kwenye usafiri kama inavyotokea sasa kwenye ndege na ku access huduma mbalimbali za kijamii, that is a real trap.....
Ndo hivyo mzee, tulishajiweka kwenye kivuli cha beberu toka kitambo tutulie tu tuendelee kunyolewa..Kwa hiyo huyo beberu ameshindwa kabisa kupiga fedha zetu kwa njia nyingine kabisa akaona afanye mahoka ya corona ili apige fedha? Alishindwa nini kutupiga kwenye bidhaa nyingine anazotuuzia? Ukumbuke huyo huyo beberu anatupa msaada mkubwa kila mwaka! Pia mazo yetu ananunua mengi tu.
Du umekuwa mkali kama pilipili. Hakika wewe unaweza kuwa Gwajima tapeli the porn star! Yule aliyecheza clip ya ngono na yule mwanamke halafu akasingizia ni mkono wa baunsa! Salute 😝 kwa Gwajima the asherati! Mzee clip nyingine utatoa tena lini? Shetani hajambo?Unasehemu gani ya maisha yangu wewe??
Mbona unataka kuwa mjinga sasa! aisee, usitake kuiga maisha yangu, niwe nasali kwa gwajima ama wapi, inakuhusu nini wewe, inakunyima nini, au ni jambo lipi linakuhusu moja kwa moja na linakupa shida kwa kusali kwangu huko?
Inachomwa beganiHaya sasa hayawi hayawi yanakaribia kuwa nendeni katengeni takle sindano iwaingie.
Akili zako ndoogo sana! hiyo uliyoandika inakusaidia chochote?Du umekuwa mkali kama pilipili. Hakika wewe unaweza kuwa Gwajima tapeli the porn star! Yule aliyecheza clip ya ngono na yule mwanamke halafu akasingizia ni mkono wa baunsa! Salute 😝 kwa Gwajima the asherati! Mzee clip nyingine utatoa tena lini? Shetani hajambo?
Yule jamaa alipotosha sana watu.....
Watuletee tu maana ni kawaida kutufanya panya wa maabara, leteni COVAX tuchome nyie mmeishachoma Pfizer!, kama ARV tunazotumia sisi ni Made in India na Pakistan wakati wenyewe wanameza Made in Italy na UK alafu wanatwambia zote ni Sawa tu!
Shetani ameeamkaje? Hajambo?Akili zako ndoogo sana! hiyo uliyoandika inakusaidia chochote?
Lazima makuwadi wa chanjo za mabeberu mweneze propaganda kichaa kama hizi...Wasiochanjwa ndio wanaoongoza kueneza UVIKO-19 hivi sasa. Wengine wanaeneza ugonjwa bila hata ya wao kuonesha dalili za ugonjwa.
Kwa mujibu wa utafiti ni kuwa, watu wengi wana UVIKO-19 lakini hawahisi dalili zozote zile za ugonjwa. Wanabaki kuwa 'variant factories' kwa ajili ya kueneza mawimbi ya UVIKO-19 duniani.
Mabeberu ni kina nani?Lazima makuwadi wa chanjo za mabeberu mweneze propaganda kichaa kama hizi...
Unaowafanyia ukuwadi...Mabeberu ni kina nani?
Najiuliza hii chanjo kutolewa kwa hiari hakuwezi kuleta madhara huko mbele ya safari kwa wale watakaokuwa hawajachanjwa kuendeleza maambukizi?
Sikumbuki kama na huko kwingine duniani hiyo chanjo ilitolewa kwa hiari, mfano tunaona nchi kama Uganda, japo wapo waliochanjwa lakini bado Corona inawasumbua.
Hii Corona tusipoichukulia serious tutakuwa tunajaza maji kwenye ndoo iliyotoboka, kama chanjo wanaziamini hazina madhara, kwanini zisiwe lazima, wengine wataelewa umuhimu wakishachanjwa.
Mkuu duniani karibu kila sehemu chanjo ni hiari. Ulaya, Marekani na Asia kote ni hiari. Uzuri ni kuwa nchi nyingi watu wana akili hivyo wamejitokeza kuchanja. Upinzani wa kijinga naona upo Bongo tu. Nadhani hata wanaopinga ni wajinga wachache tu. Utashangaa zikija watu watakavyozigombania.
Ni kweli mimi ni mlokole, nakushauri, fanya yako na ufuate unachokiamini na siyo ninachokiamini mimi, utapotea vibaya mno mkuu
Nimejiridhisha kabisa kwamba, siwezi kukuulaumu tena, kwani sio wewe, nitamlaani huyo mdudu anayejulikana kwa jina la mjinga anayekula ubongo wako!Shetani ameeamkaje? Hajambo?