Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

Kwamba kimanta naye mpigaji? Duh,kweli dunia hadaa
Mkuu hakuna asichokijua Idd kimanta kuhusu hili jambo na watu wamekwenda ofisini kwake mara nyingi kulalamika akiwa DC hapa Monduli lakini inasemekana wakishaongea na DED anawapotezea na huoni chochote kikiendelea.
 
Kwamba kimanta naye mpigaji? Duh,kweli dunia hadaa
Kuna za chini chini kuwa hata waliposhindwa mahakama kuu Idd Kimanta aliongea na DED ili kupindisha maamuzi ya mahakama kwa manufaa yao eti kwa kigezo JPM akisikia Halmashauri imeshindwa kesi watawajibishwa. Lakini Idd Kimanta inasemekana yeye na DED Monduli bila kuwa na sababu za msingi wanaishawishi TANESCO isiwalipe hao wananchi fidia
 
Tanzania hakuna viongozi kuna wachumia tumbo
Mama anatakiwa aanze upya kwani wengi wa ma DED, DC na ma RC ni wachumia tumbo na wamechangia pakubwa kuwadhulumu wananchi wanaowaongoza na kufifisha imani ya wananchi kwa serikali yao.
 
Tanzania hakuna viongozi kuna wachumia tumbo
Naomba ieleweke kinachoongelewa hapa siyo POROJO ni FACT hivyo wenye mamlaka za uteuzi mjue mnazo changamoto za ku address wakati mnapofikiria watu wa kuwapa dhamana ya uongozi wa wananchi. Je watawasaidia wananchi ku fight poverty au wata fight their own greedy poverty?
 
Naomba kama tunayooandika humu ni uongo basi tupate watu waaminifu na wasioegemea upande wowote watakaotumwa(wasitoke mkoani wala wilayani) kuongea na wale wananchi waliodhulumiwa fidia ya ardhi iliyopitiwa na umeme wa KIlovolt 400 eneo la kijiji cha Makuyuni
Kama hiyo dhuluma imetendeka kwa nini isitafutwe hukumu hiyo ikawekwwa hadharrani ili wahusika nao wajue ukweli unajulikana. Hukumu zote huwa ni public maana mahakama hazina hukumu zozote za confidetial/secret. Mmojawetu aitafute hiyo hukumu na kuiweka wazi.
 
Back
Top Bottom