PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuua Watu sasa imo kwenye ILANI ya CCM ushauri wa Gwajima kuwa Mama aache kuuwa kuteka na kubaka Binadamu ndio majibu yake haya?๐Ÿ˜ฎ

Ushauri wangu kwa Wapinzani na haswa CHADEMA na Wanaharakati bebeni silaha za kujilinda msitegemee tena kuwa kuna sheria.
 
mimi nimeelewa hapo "Magwajima tuyawache huko nje" nimetafsiri kama maelekezo kwa kamati za uteuzi chamani kwamba wagombea kariba ya gwajima au mpina yaani wale wenye kamdomo na wanaopenda kuhoji mambo magumu na kufichua uovu wasipitishwe..kwahiyo tujiandae kwa bunge lililojaa vilaza, uchawa na mapambio zaidi ya hili la sasa.!
 
Sahihi chama hakiweza kuwa Gwajimanized au Mpinanized

Straight to the point
 
Mshipa wa kuigopa sisiemu haupitishi damu,

Subiri Makombola Ya Askofu yaanze huyu mama tunamzika niamini mimi
Kaka sio kuogopa tu, mtu akiwa raisi au mfalme hana budi kuheshimiwa kama anafuata katiba na miongozo tuliyo wekeana kama viumbe tunaojinadi tuna akili ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ