Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Asanteni Mama hiyo 10k angalau mwanachuo Anaishi vizuri Asante Mama Tanzania
 
Tujenge uchumi,tuache siasa kama uchumi hauruhusu hakuna haja maana tuna mengi ya kufanya yenye Tija.

Mwisho,mh.Rais hao wanaokuandalia hayo makongamano hakuna wanachojua,Wanafunzi wa vyuo ni Vijana Kwa hulka ya vijana ni wapenzi wa Upinzani hapo hata uwape mil.1 huwezi pata kura zao Kwa sababu ni kasumba tuu ya wanachuo kuichukia ccm.

Hiyo pesa ni Bora ungetoa Kwa wanawake Vijijini au Mjini ungepata kura za kutosha au ungeongeza ruzuku Kwa wakulima au kuimarisha mfuko wa kununua mazao ya Wakulima.

Unless mnategemea kura za Kuiba ila hiyo ni strategy ya hovyo kama unaitumia kisiasa
 
Sorry wakuu kwani walikuwa hawalipwi elfu 10? Mimi nakumbuka ilikuwa 2,500/= ,ikaja 5000/= ,ikaja 7500/= nikasikia elfu 10 kama miaka mitatu iliyopita inakuwaje waseme wanaongeza kutoka elfu 8 hadi 10?
 
Wasiomwelewa huyo mama watashangilia huyu mama huwa anapenda sana kufurahusha hadhira bila kujua hazina kuna kitu gani .meiomosi nako alishaawwhi kutangazia watu 22% ya nyongeza alipochungulia hazina akakuta amna kitu ndani mwishowe tukaaongezewa 10000
 
Hongera Mheshimiwa Rais DKT Samia Suluhu Hassan na Asante kwa yote uliyozungumza na Vijana wamepokea kwa bashasha haswa la BOOM KUWA ELF 10 kwasiku Mikopo ya Kujiendeleza kupitia NMB, SAMIA Scholarahips,.

Hapa munaweza pata na ya kujengea kwenu na kuanzisha biashara kubwa kubwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Atawapa kweli au ni siasa! anatafuta kuungwa mkono baada ya Lisu kuanza kazi , kazi, kazi!
 
Wakuu mama samia katangaza kuongezwa kwa boom hii ikojee alielewa atufafanulie vizuri jamani nawaombeni wakuu
simple, ameongeza mpaka elfu 10. Nadhani zilikuwa 7,500 (kama sikosei) perday. sasa ni elfu kumi kila siku! Laki tatu kwa mwezi, nadhani kwa kujibana zinatosha kula...... (by the way boom ina innclude na boarding? hapo ndipo sijui!
 
Hai include na boarding .....
Sema mm nilitaka nijue kwa watumishi wa afya waliokuwa wanapewa 654k itapanda piah
 
simple, ameongeza mpaka elfu 10. Nadhani zilikuwa 7,500 (kama sikosei) perday. sasa ni elfu kumi kila siku! Laki tatu kwa mwezi, nadhani kwa kujibana zinatosha kula...... (by the way boom ina innclude na boarding? hapo ndipo sijui!
Nimekumbuka nilipo kuwa pale UDSM school of engineering,2007,
Yaani. Hapo wasomi wamekamatwa,hiyo nyongeza ni pipi tu,Haina maana,mkae mkijua,hiyo pesa ni tamu ukiwa chuo tu,huku kitaa ni pesa ya mboga tu!!Samia ilibidi awaambie mkakati wake wa kuwapatia ajira tamu mkitoka vyuoni,sio kuwaongezea mkopo!!na kuwapiga fiksi,eti watu wa ulaya wanatamani waje Tanzania,hii si sawa na mfsnyakazi wa BOT,takukuru,au voda atamani kufanya kazi ya konda wa daladala!!!?
 
Mkuu kikubwa tulee kwanza vizuri mengine baadae ni body knows tommorow
 
Back
Top Bottom