Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Acha watu wale boom wewe,,, mambo ya kitaa yatajulikana baadae,, Sasa iweje wateseke kotekote.Nimekumbuka nilipo kuwa pale UDSM school of engineering,2007,
Yaani. Hapo wasomi wamekamatwa,hiyo nyongeza ni pipi tu,Haina maana,mkae mkijua,hiyo pesa ni tamu ukiwa chuo tu,huku kitaa ni pesa ya mboga tu!!Samia ilibidi awaambie mkakati wake wa kuwapatia ajira tamu mkitoka vyuoni,sio kuwaongezea mkopo!!na kuwapiga fiksi,eti watu wa ulaya wanatamani waje Tanzania,hii si sawa na mfsnyakazi wa BOT,takukuru,au voda atamani kufanya kazi ya konda wa daladala!!!?
Madogo kuleni boom dadeq