Acha watu wale boom wewe,,, mambo ya kitaa yatajulikana baadae,, Sasa iweje wateseke kotekote.Nimekumbuka nilipo kuwa pale UDSM school of engineering,2007,
Yaani. Hapo wasomi wamekamatwa,hiyo nyongeza ni pipi tu,Haina maana,mkae mkijua,hiyo pesa ni tamu ukiwa chuo tu,huku kitaa ni pesa ya mboga tu!!Samia ilibidi awaambie mkakati wake wa kuwapatia ajira tamu mkitoka vyuoni,sio kuwaongezea mkopo!!na kuwapiga fiksi,eti watu wa ulaya wanatamani waje Tanzania,hii si sawa na mfsnyakazi wa BOT,takukuru,au voda atamani kufanya kazi ya konda wa daladala!!!?
Amina 🤴Acaha watu wale boom wewe,,, mambo ya kitaa yatajulikana baadae,, Sasa iweje wateseke kotekote.
Madogo kuleni boom dadeq
Hapana ni 8500 nahisiiKwani boom si lilikuwa elfu 10 tangia zamani?
Hapana ni 8500 nahisii
ANgekuwa yule jamaa angepunguza hadi elfu 5.Watu watapewa 600k na sio 500k+Kama ilivyo muda huu
Kwa hili nampongeza Mama Samia Mungu Aendelee kumuongoza vizuri katika ugawaji wake wa Asali.
Itaanza kutumika 2023-2024??Watu watapewa 600k na sio 500k+Kama ilivyo muda huu
Kwa hili nampongeza Mama Samia Mungu Aendelee kumuongoza vizuri katika ugawaji wake wa Asali.
Mkuu atawapa Mama sio Muongo kama yule JamaaAtawapa kweli au ni siasa! anatafuta kuungwa mkono baada ya Lisu kuanza kazi , kazi, kazi!
Boom la mwezi wa tatu itasoma 600KItaanza kutumika 2023-2024??
Ina maama nyinyi vijana wa maso mwaka wa tatu hampati[emoji2]
Fresh broBoom la mwezi wa tatu itasoma 600K
Kwaiyo hapo maso nadhani mtaishi vizuri na bajeti ya mihogo itakuwa kubwa 😀Fresh bro
Hapana ilikuwa 510000/ kwa miezi miwili sasa itakuwa 600000/Kwani boom si lilikuwa elfu 10 tangia zamani?
Yah mkuu furahia kila stage uliyopo mengine yatajiset.Mkuu kikubwa tulee kwanza vizuri mengine baadae ni body knows tommorow
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaiyo hapo maso nadhani mtaishi vizuri na bajeti ya mihogo itakuwa kubwa [emoji3]
nimecheka sana😉😉Mkuu atawapa Mama sio Muongo kama yule Jamaa