Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Huo Ni mwanzo tu na Wanavyuo wanajuwa kwa usikivu wa Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani ataendelea kuongeza kwa kadri Hali ya uchumi itakavyokuwa inaruhusu
 
Mavi wewe na ukoo wako uliouacha pale nyololo....

Mara elfu moja Samia kuliko yule mchawi na mwizi aliyelala Chato!
 
Boom sawa .Je Hilo boom litakusafirisha kutoka dar kwenda kagera ,mtwara,musoma, na kwingineko muda wa field ukifika? Mbona hizo Hera za field ziliondolewa? Books and stationery hazipo,akigusa na hayo maeneo nitakuwa natembea na bendera ya ccm Kila siku atakae niuliza kulikoni jibu litakuwa moja tu MAMA ANAUPIGA MWINGI
 
Yaani kwa mwanangu aliyepo chuoni Dar mwaka wa kwanza tena chuo cha serikali na hana mkopo kabisa, akikuona atakuchapa makofi. Tena na mimi ntamuunga mkono akuchape makofi kwa maana hakuna namna!
 
Ongezeko hili linaenda kuongeza wanaobeti, madanga, wavuta shisha, walevi na wavuta madawa ya kulevya.

Ulikuwa ni wakati sahihi wa kupunguza kiwango mpka kufikia 5000 kwa siku
Wanavyuo wanajitambua na ongezeko Hilo linakwenda kuleta utulivu katika masomo
 
Yaani kwa mwanangu aliyepo chuoni Dar mwaka wa kwanza tena chuo cha serikali na hana mkopo kabisa, akikuona atakuchapa makofi. Tena na mimi ntamuunga mkono akuchape makofi kwa maana hakuna namna!
Wanafunzi wote wenye sifa waliopewa mikopo na serikali ya Rais Samia,
 
Hapo ameupiga mwingi pongezi nyingi sana kwake ...
 
Mwaka wa kwanza hata mwaka wa pili sasa karibia wote wamepewa books & Stationery vilevile wengine wameongezewa ada kimya kimya ndani ya mwaka huu.
 
Mwaka wa kwanza hata mwaka wa pili sasa karibia wote wamepewa books & Stationery vilevile wengine wameongezewa ada kimya kimya ndani ya mwaka huu.
Wadogo zako Wameongezewa ?
 
Wadogo zako Wameongezewa ?
Wa SUA jana kawekewa 100% pamoja na wenzake karibia wote hakukata rufaa ila ameekewa tu sasa hakuna cha kumuongezea ada ila wa NIT bado ana 50% ile ile nimempiga kasema hakuna mabadiliko nimemwambia avute subra maana nyongeza hii siyo rasmi kwenye bajeti ya wizara imekuja baada ya vuguvugu na inatolewa kwa awamu kimya kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…