Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

Masikini Mwashamba,
[emoji23][emoji1787]
Teuzi zinakupita mbaali kama ilivyo Kaskazini na kusini.
Hivi kwanini hawakuteui jamani, wakati unaupiga mwingi.
 
Basi tuwaombee Ili aongozewe
 

Na seke seke lote na kina Lissu lazima boom lilikuwa liongezeke kwani wewe hukutegemea hilo?

Isitoshe mbona mambo mengi yatatengemaa? Si alisema atasikiliza afanye maboresho?

Hata katiba mpya mbona ni suala la muda tu?

Ngoja kinuke bado hajakuwa na uhakika na moto wake.
 
Ongezeko hili linaenda kuongeza wanaobeti, madanga, wavuta shisha, walevi na wavuta madawa ya kulevya.

Ulikuwa ni wakati sahihi wa kupunguza kiwango mpka kufikia 5000 kwa siku
Umesahau mashoga na wasagaji.

Sijui kwanini Rais hajakemea tabia hizo.
 
Kuna Vyuo walipeleka zikapigwa na Makamu wakuu wa vyuo.
 
Kwa akili zako nyingi na nzuri za kichawa, unafikiri mwanangu hana sifa?
Kama alikuwa na sifa na alichagua kozi za kipaombele kwa mujibu wa miongozo unapokuwa umetolewa na akawa amekosa mkopo ilitakiwa skate rufaa muda ule unaokuwaga umetolewa,lakini pia kwa kuwa huu Ni mwezi wa pili hivyo anaweza akaomba Tena mkopo mwaka huu,Na kwa vile serikali ya Rais Samia imejidhatiti kuwapatia Tabasamu wanafunzi wote naamini atapewa mkopo na kutimiza Ndoto zake na kukupunguzia mzigo wewe mzazi wa kulipa Ada ya mwanao,

Naomba uungane na Mimi katika kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa na kumuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
 
Acha maneno ya uongo uongo hapa ndio maana chadema mnapuuzwa Sana na watanzania kwa sababu ya ubabaishaji wenu, Rais anafanya vitu kwa kuwa amedhamiria kuleta Tabasamu Katika maisha ya kila mtanzania na kumsaidia kila mtu kutimiza Ndoto zake,Hafanyi vitu kwa sababu ya mtu fulani,Hakuna wa kumtisha mh Rais wetu ,hayupo mtu wa namna hiyo na Wala hajazaliwa bado
 

Mnaozingatiwa ninyi au Lipumba?
 
Imeongezeka 1,500/= (yaani take 10,000/= minus 8,500/=) ambayo ni sawa na ongezeko la 45,000/= Kwa mwezi mmoja na 90,000/= Kwa miezi miwili na ongezeko la 360,000/= Kwa semister zote 2 (8 Months) aisee.

Kwa ongezeko la 180,000/= Kwa miezi 4 (semister Moja) basii kazi Ipo ni ongezeko dogo sana.

All the best
 
Hizo fedha zinatoka wapi wakati madarasa tu yanajengwa kwa akiba ya fedha za kigenu.

False hope.
Uwe na moyo wa kupongeza kwa Jambo zuri linapofanyika,Hivi kwamba hujuwi kuwa serikali imejenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 kwa fedha zetu za ndani pasipo kumchangisha mzazi yeyote yule? Najuwa habari hii na uamuzi huu wa Rais Samia kuwaongezea fedha za kujikimu Wanavyuo umewashitua na kuwaumiza Sana maana mnajuwa kuwa hamna Cha kuwaambia Wala kuwashawishi vijana wa vyuo kuwaungeni mkono
 
Naona Roho inawauma Sana maana mnajuwa kuwa mliokuwaa mnawategemea kuwaunga mkono wametambua ubabaishaji wenu na kuamua kumuunga mkono mh Rais na serikali yake ya ccm
 
Haa huyu raisi si wa kumwamin kabisa yeye yupo tiari kumridhisha na kumfurahisha kiLa mtu lakini kumbe hazina hamna kitu .waulize wale watumishi wa meimosi waakaambulia 10000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…