much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Rais Samia amesema anasubiria ripoti ya Timu aliyoiunda Kupitia mashirika ya Umma yanayoripoti Kwa Msajili wa Hazina Ili juyafutilia mbali Yale ambayo hayana Tija Wala faida.
Amesema Mashirika Yatakayokufa basi wahusika wajiandae kufa nayo..
My Take
Safi sana mh.Rais hakuna kulea ujinga ujinga wa miaka Mingi ambako watu waligeuza Mali ya Umma ni mashamba ya Bibi..
La kwanza ni TBC