Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

La kwanza ni TBC
 
Kwenye distribution Mzee yaani usambazi wa Umeme ila Huduma zingine zibakie na Tanesco wenyewe.
Niliwasikiliza Tanesco Juzi juzi naona ndo wanapo elekea uko (Outsourcing) kitu ambacho nakiona ni Kizuri kwa Vile kitaongeza efficiency hii Outsourcing naona iende kwa mashirika mengi zaidi ya umma italeta ufanisi badala ya kuajili watu Kwa permanent contract wengi kufanya izo kazi ambapo majority huwa ni underperformers ni bora uwe na Shirika lenye watu wachache tu wabaki kufanya Usimamizi the rest wachukue private sectors ambapo italeta ufanisi mkubwa sana, Culture za mashirika ya umma za ovyo sana Kuanzia dereva mpaka watendaji wenye Permanent contract wanafanya kazi kimazoea sababu ni mshahara upo tu
 
Hakuna mtanzania mwenye fedha ya kutosha ku maintain distribution ya umeme nchi hii,, wala hakuna mzungu atakuwa tayari kuweka pesa yake hapa, labda waje kufanya management,, mchina hafanyi kazi za sandakalawe,,
Mwarabu mwenye hela hazina kazi, atashtuka kuinvest hapa, distribution inahitaji huuge investment
 
Namaanisha Miradi Ijengwe na private sectors ila iwe maintained na tanesco, Kiuhalisi ku invest Tanesco ni Ngumu sana tuache shirika tu liwe 100% owned na government mana sio Business oriented company bali ni Service oriented
 
Namaanisha Miradi Ijengwe na private sectors ila iwe maintained na tanesco, Kiuhalisi ku invest Tanesco ni Ngumu sana tuache shirika tu liwe 100% owned na government mana sio Business oriented company bali ni Service oriented
Ndio nachomaanisha, kwa rate zao za bei ya umeme,, hakuna investor ataona faida... Mi naona private sector waendeleo kuzalisha na kuuza umeme Tanesco kisha Tanesco watuuzie wananchi kwa bei affordable
 
Muuaji mkubwa wa mashirika ya umma ni Serikali. Management inafanya kazi kama messanger.

Mashirika ya umma yapewe uhuru, yasiingiliwe na Serikali. Serikali iwape tu objectives.
 
Rais Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amepokea gawio la Serikali kwenye hafla ya kusherehekea miaka 25 ya mafanikio ya benki ya NMB

Akizungumza katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam, mbali na mengi aliyoyazungumza ameeleza kuwa, Serikali itayafuta mashirika yote ya umma au yale ambayo Serikali ina hisa kubwa yanayojiendesha kwa hasara

Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa tayari amepokea ripoti ya awaLi kutoka kwa msajili wa hazina juu ya utendaji wa mashirika ambapo amemuagiza (Msajili wa hazina) kufanya tathmini ya pili kabla ya kufanya maamuzi ambapo tathmini hiyo itaamua mashirika yatakayofutwa, yatakayosaidiwa yatakayopewa miongozo ya kujiendesha ili kutengeneza faida.​
 
 

Attachments

  • A65F5718-291B-4A8F-84A5-04639A6A3374.jpeg
    140.9 KB · Views: 4
Kuna mashirika serikali inatakiwa Tu ipunguze umiliki wa asilimia 100...baasi
Serikali ikibaki na 40 ingine wauze hisa DSE....watashangaa yatakavyo performs
Tatizo la Serikali ni ugumu wa kuelewa, wangeona Faida wanayopata NMB, CRDB, NBC wakaamua fanya hivyo kwa Mashirika yake hakika tungekuwa Mbali
 
Kwanini asitumie ripoti ya CAG hiyo kuzungukia mashirika yoote ya umma ni ufujaji wa fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…