Rais Samia: Tutafuta baadhi ya Mashirika yasiyoleta tija, yakifa wafe nayo

Tatizo la Serikali ni ugumu wa kuelewa, wangeona Faida wanayopata NMB, CRDB, NBC wakaamua fanya hivyo kwa Mashirika yake hakika tungekuwa Mbali
Wanatangaza gawio NMB na Crdb wanalopokea halafu badala ya kupunguza Tu hisa zao huko kwingineko wanawaza kuuza outright
 
Kuna sandakalawe ya mashirika inakuja, I expect na baadhi ya Viwanda vitauzwa, kwa hio ndugu zangu tuanze kuwa karibu na maafisa mikopo, pia tujitahidi kusave, unaweza nunua kiwanda cha Urafiki hata kwa elfu kumi tu 😂😂😂😂
 
Kwa nini mteja nisihudumiwe bure wakati nanunua umeme wako? Wewe unauza umeme lazima ufanye uwezalo umeme unifikie nilipe...tatizo tanesco ni mikataba ya kipuuzi ambayo inawafanya walipe madeni kibao.
 
Kati mashirika umma 500 tuone yatabakia mangapi......wapungUe share as serikali.....tupime miaka 5 ijayo tuone ufanisi kama utabadilika
 
Ndio nachomaanisha, kwa rate zao za bei ya umeme,, hakuna investor ataona faida... Mi naona private sector waendeleo kuzalisha na kuuza umeme Tanesco kisha Tanesco watuuzie wananchi kwa bei affordable
Kwani bei zao ni ndogo sana? Kwa wenzetu mbona umeme mpaka wanapikia maharage ina maana hawapati faida?
 
Kuna kila dalili kuwa TANESCO wanakwenda kutolewa kwa Wajomba kama ilivyokuwa Bandari.
Kama TANESCO hawana tija bora nao wakabidhiwe kwa Wajomba tu ili wananchi wa kawaida na sisi tufaidike na huduma nzuri kutoka ugenini!! Maana tumechoka na Mambo ya kutumbuwana!!
 

Kwa heri titisiielo na eitisii
 
Hiwa nawashangaa sana wanaotaka wawekezaji kwenye umeme hawajui kuwa bei ya umeme haitakuwa hii tena si ajabu unit 1 wakanunua kwa 1000 au zaidi
 
Tanesco ana supply tu. Yeye umeme anauziwa na mashirika mengine alafu anausambaza .changamoto ni kwamba ni monopoly ndo mana shirika halija changamka.
Mkuu sio kweli 90% ya umeme nchini uko produced na Tanesco, Inshu ya tanesco kutokuwa monopoly ni nzuri sana ila tujiulize je tanesco akianza kwenda kibiashara wananchi mtaweza kumudu izo cost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…