Falsafa za mwenda zake hizi huyu jamaa kashajichimbia shimo
Kama mke ni mpumbavu unatengana naye tu siyo dhambi wala siyo jambo la ajabu na wala yeye siyo binadamu wa kwanza kutengana na mkeweAlishatengana na mkewe
Kama ambavyo mteuliwa anakubali na kupokea SIFA, pale anapopewa sifa na mteuzi wake...Hivi vyeo vya kuteuliwa shida sana, usikute waziri alizuia kwa nia njema tu ila ndo hivyo kwakuwa umeteuliwa kubali matusi na fedhea ya mamlaka iliyokuteua
Waziri alitoa msimamo wa serikali katiliHuyo waziri nadhani kisha jilamba kalio kifuatacho atatusimulia mkewe
CCM imeoza balaa tupuHivi ndani ya ccm kuna vyama vingapi ?
Kwani lazima utukane?Ila iliendelea kua hivyo KWA kipindi Gani!!
Punguza ujinga kama nzi
Unafurahia kuanguka kwa uchumiHakika Rais SSH anatumia akili hatumii nguvu.
Kabla ya kuzuia sukari kutoka nje kuingizwa nchini bei ya sukari ilikua nafuu na Watanzania wengi waliweza kumudu kunywa chai.
Lakini baada tu ya zuio sukari ikapaa bei mpaka leo kilo 3000-2900
Sasa nashindwa kuelewa kitu
Sukari kutoka nje ina bei nafuu halafu ya ndani ina bei kubwa eti kisa kulinda viwanda? Kwanini sukari ya ndani ina bei ghari ni tamaa au nini?
Sukari ya viwanda vya nje inasafirishwa inalipiwa kodi still ina bei ya chini kuliko sukari ya ndani.
Bukoba huku wengi wanatumia sukari ya ugandabna inabei nafuu kabisa.
Sasa kipi bora tuendelee kulinda viwanda vya ndani halafu tununie sukari kwa bei ya juu au turuhusu sukari ya nje iingie ili mwananchi apate ya bei nafuu?
Mtajaza wenyewe
Hongera Samia Suluhu Hassan
Unataka Samia akalale rufiji ndyo ujue anashughulikiaKwa staili hii mama ndo Mana hatilii kipaumbele Suala la umeme wa uhakika.
Tatzo la viwanda vya ndani si malighafi bali ni umeme wa uhakika ndo maana ya kujenga power plant ya Bwawa la nyerere.
ajabu mama hashughuliki na hyo Zaid ya kushikilia sera nyepesi za kiuchumi zinazoangazia solution la muda mfupi tu.
Tujenge miundombinu ya upatikanaji wa umeme wa uhakika,viwanda vitazalisha KWA wingi na kuuza KWA bei Chee,so exportation itakua simple sana .
otherwise Basi ategemee kalamu itamuandika vibaya KWA future generation na kumshangaa yeye kama mkuu wa nchi KWA maamuzi kama haya
Uganda hiyo surplus ya sukari wanaitoa wapi ikiwa nao wanaagiza Brazil?Kwanini Uganda wanatuuzia sisi? simply wana surplus ya sukari ndio maana wanaleta kwetu.
Serikali ilitakiwa kusimamia vizuri uzslishaji wa sukari, wahakikishe wafanyabiashara wanawekewa ceiling ya bei ili kuzuia upandaji holela, uwezo huu serikali inao muhimu iache urafiki na wafanyabiashara ambao ndio wafadhili wao wakati wa uchaguzi.
Tukifurahia sukari kuingizwa nchini ili tu mtumiaji apate nafuu ya bei, mwishowe tutaua viwanda vyetu vya ndani, sukari yetu itakosa soko, na wafanyakazi wapoteze ajira zao, wakati wenzetu wanaotuletea wao wanaendelea na uzalishaji na kutoa ajira kwa watu wao.
Sidhani kama ni kweli uganda hawana bandali bidhaa yao inapitishwa dar au Mombasa na wangefanya hivo lingejulikana mapema ila nalo jua Uganda wana viwanda vya sukali vikubwa zaidi ya vitamo na vidogo zaidi ya 20 kwahiyo wanadhalisha sukali ya kuyosha.Uganda hiyo surplus ya sukari wanaitoa wapi ikiwa nao wanaagiza Brazil?
Wanachofanya ni kupack upya sukari mbovu kutoka Brazil Tena hii hufanywa na wafanyabiashara wajanja akiwemo huyohuyo museveni. Ndio maana Kenya nao waliwakatalia
Aruhusu pia na surujjSamia ana akili kwenye masuala ya uchumi. That is excellent.
Maana yake ni kwamba kama uzalishaji wa ndani hautoshi toa kibali cha kuagiza nje ya nchi ili isijekutokea uhaba na bei kupanda halafu mlaji mwananchi akaumia.
Hii masuala ya kulinda viwanda vya ndani ni upuuzi uliotukuka, viwanda vya ndani wanatakiwa kuongeza uzalishaji na kuacha uzembe.
Ingekuwa mimi ndo mtunga sera, ningeweka import duty free kwa sukari ili hawa sugar producer wapate akili.
bata tredi. tumebadilishana sukari na gesi[emoji848]Kwa ni Kagera Sugar, Mtibwa, Kilombero, Kilimanjaro, Manyara sugar n.k wameshindwa kuzalisha sukari ya kutosha?
Kwa namna nyingine pia naweza kukubaliana na mama maana mafisadi hawachelewi kutengeneza genge la kusababisha uhaba wa sukari ili ipande bei.
Kabla ya kukataa nilichosema ilipaswa utafiti kidogo.Sidhani kama ni kweli uganda hawana bandali bidhaa yao inapitishwa dar au Mombasa na wangefanya hivo lingejulikana mapema ila nalo jua Uganda wana viwanda vya sukali vikubwa zaidi ya vitamo na vidogo zaidi ya 20 kwahiyo wanadhalisha sukali ya kuyosha.
I like people who argue with facts and figures.Kabla ya kukataa nilichosema ilipaswa utafiti kidogo.
Soma hii taarifa hapa chini kuhusu Uganda kununua sukari Brazil
View attachment 2026947View attachment 2026948
Hiyo habari ni ya miaka miwili nyuma kabla ya ku sign East Africa import statueKabla ya kukataa nilichosema ilipaswa utafiti kidogo.
Soma hii taarifa hapa chini kuhusu Uganda kununua sukari Brazil
View attachment 2026947View attachment 2026948
Taarifa nyingine hiyo hapo, imekua updated 2021Hiyo habari ni ya miaka miwili nyuma kabla ya ku sign East Africa import statue