Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tukiacha kununua kwao na wao wanaacha kupitishia mizigo yao kwenye bandari yetu
Sema cha kushangaa ni kwamba sukari yenyewe uganda ni shida
Sasa wanatuuziaje sie wakati wenyewe haiwatoshi?
Hizo ndio siasa za afruca
Mkuu, umekuwa mgeni wa uhaba wa sukari nchini na wakati viwanda hivyo vipo miaka yote?Kweli Tanzania Ni nchi ya kuagiza sukari Uganda? Tumekosa nn au Nini hatuna Cha kutufanya tusizalishe .umasikini wa fikra au....Kuna vitu vya kuagiza aisee sio sukari au mafuta
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
.....kama uzalishaji wa ndani hautoshi toa kibali cha kuagiza nje..... (Na huu ndio ulikuwa msimamo wa Waziri wa Kilimo) unless there are UNKNOWNS-UNKNOWNS (or)KNOWNS-UNKNOWNS.Samia ana akili kwenye masuala ya uchumi. That is excellent.
Maana yake ni kwamba kama uzalishaji wa ndani hautoshi toa kibali cha kuagiza nje ya nchi ili isijekutokea uhaba na bei kupanda halafu mlaji mwananchi akaumia.
Hii masuala ya kulinda viwanda vya ndani ni upuuzi uliotukuka, viwanda vya ndani wanatakiwa kuongeza uzalishaji na kuacha uzembe.
Ingekuwa mimi ndo mtunga sera, ningeweka import duty free kwa sukari ili hawa sugar producer wapate akili.
Hapo kuna tatizo' poor political decisions'Ila serikali isiangalie kuimport suakri, zaidi isaport initaive za ndani kuzalisha suakri nyingi yenye ushinda. Kwanini uganda wanazlaisha sukari nyingi hadi wanakuja kuuzia tz?
Yaani huyu Mzee anataka kutuuzia sukari ili akakomboe uwanja wa ndege?
Ukiona yale mabilion yanayotajwaga kwenye habari na press mbali mbali Tanzania imechukua mkopo Bil.360 mara Tanzania imepokea msaad wa Trillion kadhaa!Kweli Tanzania Ni nchi ya kuagiza sukari Uganda? Tumekosa nn au Nini hatuna Cha kutufanya tusizalishe .umasikini wa fikra au....Kuna vitu vya kuagiza aisee sio sukari au mafuta
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inawezekana pia hawa wenzetu wamesoma japo bado ni wajingaMbona wanasema ya Brazil ni rahisi labda wanatuuzia hiyo baada ya ku repacked [emoji848][emoji848]
Waache, kwani biashara ni kuoneana huruma? Biashara inaangalia wapi napata the best na the cheapest, kama Mombasa ni cheapest basi aende huko!Tukiacha kununua kwao na wao wanaacha kupitishia mizigo yao kwenye bandari yetu
Sema cha kushangaa ni kwamba sukari yenyewe uganda ni shida
Sasa wanatuuziaje sie wakati wenyewe haiwatoshi?
Hizo ndio siasa za afruca
Pia anahangaika sana na Chanjo, sikui kwaniniKwa staili hii mama ndo Mana hatilii kipaumbele Suala la umeme wa uhakika.
Tatzo la viwanda vya ndani si malighafi bali ni umeme wa uhakika ndo maana ya kujenga power plant ya Bwawa la nyerere...
Mkuu 'Ngogo', tatizo kubwa si huyu kuwadharau watu wanaojua kazi wanazofanya; tatizo letu kubwa kama nchi ni kukosa mipangilio ya maendeleo yetu.Duh 🙄 Nadhani Prof Mkenda anajuta kuongozwa na mtu asiyejua ABCD za uchum...
Ameigeuza Tanzania shamba la bibiRais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Huyu Mkenda alitoa maamuzi/kauli ya kile anachokiamini kwamba ni sahihi.Mtoto umleavyo ndio akuavyo. Nakumbuka Martin Shigela alimkoromea Uhuru Kenyatta akasifiwa na kichaa aliyekwenda zake. Huyu naye alifikiri kuwa angesifiwa!!
Usirukie mambo usiyoyajua wewe chawa. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali. Teuzi za kimalaya malaya siku hizi hakuna.Hapo vip!!
Kwanza kwaheshima kubwa nawiwa kumtia moyo mama yetu mpendwa na Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania dhidi ya majukumu mazito alionayo katika maisha yake...
Balozi Ame Mpongwe amesema Tanzania haijaacha kununua sukari kutoka Uganda kikiwemo kiwanda cha Kilombero sugar kilichonunua tani 4300 licha ya bei za Uganda kutokuwa za kishindani ukilinganisha na maeneo mengine katika ukanda huu.Usirukie mambo usiyoyajua wewe chawa. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali. Teuzi za kimalaya malaya siku hizi hakuna.View attachment 2027648View attachment 2027649
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app