Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
endeleeni kuchoma vifaranga vya KenyaTujue kwanza; ni kauli ipi iliyozingatia sheria za nchi kati ya hizo kauli! Usijekuta unaegemea kwa wahujumu taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endeleeni kuchoma vifaranga vya KenyaTujue kwanza; ni kauli ipi iliyozingatia sheria za nchi kati ya hizo kauli! Usijekuta unaegemea kwa wahujumu taifa.
Profesa huyu akose 'mantiki', halafu mantiki hiyo ipatikane kwa 'Maza Mizinguo'? Kweli vichekesho nchi hii haviwezi kuisha.Hivi ndani ya ccm kuna vyama vingapi ?
Zamani tulisema "amekanyaga katiba"Huyo waziri nadhani kisha jilamba kalio kifuatacho atatusimulia mkewe
What if the cost is higher than importing from Brazil!
Chama kimoja lakini mawazo na mitazamo kinzani. Ni jambo la afya kidemokrasia.Hivi ndani ya ccm kuna vyama vingapi ?
Kama chacha Wangwe aliuawa, kwanini kina Kingai Polisi yao na Tiss wako kimya?Chama kimoja lakini mawazo na mitazamo kinzani. Ni jambo la afya kidemokrasia.
Nina hakika chadema wangeruhusu hili Chacha Wangwe angekuwa hai leo.
Hivi ni waziri yupi!??Huyo waziri nadhani kisha jilamba kalio kifuatacho atatusimulia mkewe
MkendaHivi ni waziri yupi!??
Excellent kwenye uchumi ipi wewee,kama hujui unyamaze.Samia ana akili kwenye masuala ya uchumi.. That is excellent.
Maana yake ni kwamba kama uzalishaji wa ndani hautoshi toa kibali cha kuagiza nje ya nchi ili isijekutokea uhaba na bei kupanda halafu mlaji mwananchi akaumia.
Hii masuala ya kulinda viwanda vya ndani ni upuuzi uliotukuka, viwanda vya ndani wanatakiwa kuongeza uzalishaji na kuacha uzembe.
Ingekuwa mimi ndo mtunga sera, ningeweka import duty free kwa sukari ili hawa sugar producer wapate akili.
Huyu Rais anavuka mipaka ya kuwaona waTZ wajinga, kwahiyo kiwanda cha sukari cha Bagamoyo kilichoasisiwa na JPM na kupewa nguvu na mfanyabiashara Bahkressa kife na watu wakose ajira?Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda
Shekhe wangu Acha kutetea ujinga kisa shungi,hii ni nchi banaaa.Unajua kwann kuna sera za kulinda viwanda vya ndani?Unajua KWA nn bakhresa alipewa eneo na kuezeshwa kujenga kiwanda cha sukari Bagamoyo!Wakati wa uyo aliekuwa akiweka kipaombele cha Umeme wa uhakika.. Sukari ilikua kiasi gani?
Ila iliendelea kua hivyo KWA kipindi Gani!!Huku uswahilini tulininua 5,000 kilo moja
Sera za kiuchumi zimewapitia kushoto,Viwanda vya ndani hawana umeme wa uhakika kuendesha migambo na ndo sababu kubwa ya bei kua juu,baada ya watu kupigia kelele kia viwanda ni ngumu kuviendesha KWA sababu ya umeme wa uhakika,ndo Mana Bwawa la umeme la nyerere likaamuliwa kujenga Ili kuwaezesha viwanda kupata umeme wa uhakika KWA ajili ya udhalishaji,Sasa leo hii wanatumia cheapest economy policy,eti wametelekeza hilo Bwawa,wanategemea kia uchumi utapanda,wanafikiri JPM kuukuza uchumi mpaka kuingia uchumi wa Kati ilikua kama kunywa maji eeeh.Huyu Rais anavuka mipaka ya kuwaona waTZ wajinga, kwahiyo kiwanda cha sukari cha Bagamoyo kilichoasisiwa na JPM na kupewa nguvu na mfanyabiashara Bahkressa kife na watu wakose ajira?
Hii ndio nonsense? [emoji848]
Yale yale ya Jiwe. Nchi inaendeshwa kwa matakwa ya rais na siyo kwa katiba na sheria. Hivi hawa watu wakipata urais akili huwa zinayeyuka?Matamshi yenyewe ya huyo asiyeona 'mantiki' yana mantiki ipi?
Ameeleza huyo waziri kwa nini alisema hivyo? Kuvimbishwa kichwa na nafasi ya uongozi siyo inayoleta mantiki kwa jambo lolote.
Kwa hiyo mawaziri waogope kufanya kazi na maamuzi kwa kuhofia boss atawaambia wasemayo hayana mantiki?
Profesa huyu akose 'mantiki', halafu mantiki hiyo ipatikane kwa 'Maza Mizinguo'? Kweli vichekesho nchi hii haviwezi kuisha.
Kuukwaa urais tu, kunamwongezea mtu uwezo wa kujua mantiki na ipi siyo mantiki?
Mwacheni rais afungue nchi 😆😆😆Nchi hii haiwezi kuendelea kwa kuwafurahisha mataifa mengine au kuifanya soko la bidhaa za mataifa mengine wakati Sisi tuna ardhi kubwa
Mara tano au zaidi ya Uganda.