TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.
Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "
Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.
Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.