Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio vinaongeza Kodi vikipungua? Kinachotakiwa Kila mtu alipe.kodi stahikiPunguzeni mishahara, posho na marupurupu ya wanasiasa (wabunge) na baneni matumizi kwa kupunguza safari zisizo na ulazima na kuondoa makongamano yasiyoisha kila uchao
Hv we jamaa unajikutaga nani? Kwanza hzo tunazo lipa kama wangekuwa wanazitumia vzr tungekuwa mbali sana.Ndio vinaongeza Kodi vikipungua? Kinachotakiwa Kila mtu alipe.kodi stahiki
Si watu wanakula kwa urefu wa kamba?Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Mungekuwa mbali sana wapi? Kwani hazitumiki vizuri? Najikutaga Mtanzania.Hv we jamaa unajikutaga nani? Kwanza hzo tunazo lipa kama wangekuwa wanazitumia vzr tungekuwa mbali sana.
Rais Samia Suluhu akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi, amesema kuwa kodi tunayokusanya hailingani na idadi ya watu.
“Uchumi wetu unakua sana, lakini haulingani na tunachokikusanya. Tunakusanya kidogo sana, kingi kinaingia mifukoni kwa watu bure bure tu. Shughuli za kiuchumi zinazoendelea nchini na idadi ya watu hailingani na mapato tunayoyapata.”
My Take: Naunga mkono hoja, na huu ndio ukweli. Ukiangalia utajiri wa Watu na miradi wanayofanya na kile tunapata ni vitu 2 tofauti.
Serikali inawaonea Watumishi tuu ambao hawawezi kukwepa Mapato lakini huko Mitaani wafanyabiashara wanalipa robo ya wanachostahili au wanakwepa kabisa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAsmS5qq-x9/?igsh=aG50bzc5ajJ2dGZm
Pamoja na Kulalamikia kwamba watu ni wengi ila hawalipi Kodi ni lazima ujue kati ya hao watu mil.65 ,,ukiondoa under 18 na maskini,wanafunzi,wazee Je Nguvu kazi halisi ni kiasi gani?
Soma hapa: LIVE - Rais Samia akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Ikulu - Dar, Oktoba 4, 2024
Hapana,wanaokusanya hawatimizi wajibu wao ndio wanakula rushwa haoSi watu wanakula kwa urefu wa kamba?
Na ndio kila siku wanafanya kazi ya kumsifia ili waendelee kuiba, Samia kugombea tena 2025 ni sawa na kuendeleza kundi la wezi(mchwa)Ni vizuri kama amejua kwamba hela ziko kwa mchwa waliomzunguka ambao wengi wametengeneza machawa 😂.
Kama wanawajua Kwa nini wasiwafanye kuwa mfano Ili Kukomesha haya? Ni jambo rahisi sana mbonaMama kamaanisha pesa zinakusanywa lakin maboss wa tra wanachukua kama zao,wanaacha kidogo
Ndo mnunue magoli kila mechi mnunue magari ya milion 400 kila moja?Mungekuwa mbali sana wapi? Kwani hazitumiki vizuri? Najikutaga Mtanzania.
Duh, kila mtu haiwezekani bhana,Kinachotakiwa Kila mtu alipe.kodi stahiki
Rais Samia Suluhu akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi, amesema kuwa kodi tunayokusanya hailingani na idadi ya watu.
“Uchumi wetu unakua sana, lakini haulingani na tunachokikusanya. Tunakusanya kidogo sana, kingi kinaingia mifukoni kwa watu bure bure tu. Shughuli za kiuchumi zinazoendelea nchini na idadi ya watu hailingani na mapato tunayoyapata.”
My Take: Naunga mkono hoja, na huu ndio ukweli. Ukiangalia utajiri wa Watu na miradi wanayofanya na kile tunapata ni vitu 2 tofauti.
Serikali inawaonea Watumishi tuu ambao hawawezi kukwepa Mapato lakini huko Mitaani wafanyabiashara wanalipa robo ya wanachostahili au wanakwepa kabisa.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAsmS5qq-x9/?igsh=aG50bzc5ajJ2dGZm
Pamoja na Kulalamikia kwamba watu ni wengi ila hawalipi Kodi ni lazima ujue kati ya hao watu mil.65 ,,ukiondoa under 18 na maskini,wanafunzi,wazee Je Nguvu kazi halisi ni kiasi gani?
View: https://www.instagram.com/p/DAsoqL_KoP5/?igsh=aHlmaGJlMWlmMXE0
Soma hapa: LIVE - Rais Samia akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Ikulu - Dar, Oktoba 4, 2024
Kuna kuiba na kuna dharauNa ndio kila siku wanafanya kazi ya kumsifia ili waendelee kuiba, Samia kugombea tena 2025 ni sawa na kuendeleza kundi la wezi(mchwa)