Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

Punguzeni mishahara, posho na marupurupu ya wanasiasa (wabunge) na baneni matumizi kwa kupunguza safari zisizo na ulazima na kuondoa makongamano yasiyoisha kila uchao
Ndio vinaongeza Kodi vikipungua? Kinachotakiwa Kila mtu alipe.kodi stahiki
 
Shida sio raisi Samia

Shida ni wapumbavu tuliowaweka kumshauri raisi.

Tume ya marekebisho (where on earth umewahi ona kitu kama hiko) kwa jinsi budget ya nchi inavyopangwa na maamuzi ya wizara ya fedha.

Huu ujinga wa watu mnaopeleka Ikulu is beyond me.

Tume ya kodi 😂😂😂
 
Na wa
Watu wenyewe Sheria ziko juu yao hivyo ni vyema kuzungumza au kushughulikia tatizo Kwa vitendo.
 
TRA na ZRA si juzi tu hapa wamejinasibu kuwa wamevuka Target ya ya Makusanyo kwa Quarter ya kwanza ya Mwaka mpya wa fedha, Tena wakaenda mbali kwa kudai kuwa Model ya ukusanyaji Kodi ni Favourable na Inamfanya Kila mtu afurahie Kulipa Kodi
Infact hakuna Mfanyabiashara anaependa Kulipa Kodi kwenye Swala la Kodi hapataki Politics wala Sarakasi Ni Mkono wa Chuma tu utumike kukusanya Izo Kodi kipindi Cha mzee Baba tuliona mpaka Uundwaji wa Task Force ili kudeal na businessmen ambao wana Skip taxes, Wafanyabiashara Ni Kama Ngedere ukicheka nao tu unavuna Mabua zile Sarakasi za Kariakoo walikuwa wanatafuta sympathy tu, Mkono wa Chuma utumike tu kwenye kufanya Collection
 
Na hiicho kinachokusanywa nacho kinaishia mifukoni mwa majizi ndani ya serikali ya CCM...
 
Na ndio kila siku wanafanya kazi ya kumsifia ili waendelee kuiba, Samia kugombea tena 2025 ni sawa na kuendeleza kundi la wezi(mchwa)
Kuna kuiba na kuna dharau

Tanzania kuna taasisi ngapi ambazo zinawasomi wa maswala ya finance na economists ambao wanajua mipango ya nchi.

Hao wote unataka kusema hawajui kwamba maamuzi ya kodi ni swala la waziri wa fedha na sera za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…