GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.
Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.
Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.