Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

Hizo hela anazochezea kununua hayo magoli, si angewapa wasaidizi wake wakakimbize mwenge pasipo kuwachangisha watumishi wa umma, na wananchi wanyonge mtaani!
Michezo ni silaha kubwa sana duniani ya nationalism propaganda hasa mpira wa miguu.

Mpira ni mchezo ambao unaweza fanya kila mkoa watu kuangalia match na kwenye ushindi hasa wa timu ya taifa unaleta patriotism ata kama ya muda mfupi na furaha kwa taifa.

Hiyo sio Tanzania tu ipo ivyo duniani.
 
Halafu tukimkumbuka Hayati Magufuli tunabatizwa Jina la Kiubaguzi la SUKUMA GANG wakati Wengine ni Wazanaki ( Mara ) na Wamakuwa ( Mtwara ) Kimakabila.
Mwamba kumbe una kadamu kakina njomba nchumari kimtindo kama mimi 🤣
 
Michezo ni silaha kubwa sana duniani ya nationalism propaganda hasa mpira wa miguu.

Mpira ni mchezo ambao unaweza fanya kila mkoa watu kuangalia match na kwenye ushindi hasa wa timu ya taifa unaleta patriotism ata kama ya muda mfupi na furaha kwa taifa.

Hiyo sio Tanzania tu ipo ivyo duniani.
Mfano mechi ya Ukraine vs England juzi
Northern Ireland na Republic of Ireland

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Gentamycine, pale paragraph ya kwanza ni kwa mwaka siyo mwezi.

Rekebisha hapo, mengine yote 100%.
Tusubiri utekelezaji.
 
Sometimes it’s good to lift the national spirit and football is good at that, when the team wins.

Kwa nchi ambayo ina rank amongst least ya watu wenye furaha; walau hizi jitihada za kujaribu ku motivate ushindi zipongezwe ata kama zinaleta furaha ya muda mfupi tu.

Taifa linahitaji wananchi kuwa pamoja, patriotic na kupata furaha; mechi za kimataifa zinafanya kazi hiyo vizuri team inaposhinda. Kwa hapa Bi Tozo kaona kitu.

hiyo english yako haieleweki.
hizo pesa anachezea tu sidhani kama zinasaidia chochote, ni kidogo sana. Nadhani inasaidia kupata kiki tu miongoni mwa wasiotafakari. Unashangilia furaha temporaly wakati kuna tabu permanently zingetatuliwa na hizo pesa wanazochezea??
 
Kwako wewe swala la nationalism linaweza kuwa sio jambo muhimu kwa serikali ni big deal.

Na kwenye fursa ya kufanya hiyo propaganda wataitumia ipasavyo kwa muda unaowezekana.

Iwapo timu ya taifa ikishinda inaleta furaha kwenye taifa basi ni busara kutaka kuona inashinda kila mara; nchi nyingi zinatoa bonus kwa ushindi wa match za kimataifa hasa kwenye michuano na kutaka kuona team inasonga mbele.

Hakuna serikali inayojitambua isiyo exploit hiyo nafasi ya kufanya nationalism propaganda kupitia michezo hasa mpira wa miguu.
 
Upo sahihi, na hata pension reforms zilizoleta maandamano ufaransa zinalenga kuwapa watu ugumu wa maisha huku pia zikilenga kupunguza idadi ya watu kutoka milioni 2 hadi milioni 1.2 kufikia mwaka 2030. Haya mambo yako engineered lengo likiwa kuwafanya binadamu kuwa mateka......​
Hatujaweka maswala ya ushoga na vidonge vya majira plus lishe mbovu namna vinaharibu uzazi, watoto wakike wengi sana wanatolewa vizazi na kushindwa kupata watoto tena.

Wanaume sperm count inashuka sababu ya ulaji mbovu wa chakula bila kuzingatia mahitaji ya mwili. Bado swala la nguvu za kiume kuathiri namna wanaume wanaweza kumpa mwanamke ujauzito.

Ushoga nao umefanya wanaume sasa kubadili interests zao za mahusiano na kuelekeza kwenye ngono zaidi wanafanya na mashoga wakisha wamwagia shahawa ndio basi tena hawezi kuwa na haja ya kulala na mwanamke na kuzaa nae tena maana kwanza ni aibu lakini pia anajitoa thamani kuwa atakuwa baba wa aina gani kwa madhambi anayofanya.

Upande mwingine ni swala la watoto wa kike kupewa hamasa zaidi za kupambana na maswala ya uchumi na kuacha ujenzi wa familia na kuleta matokeo mabovu sana ya kimalezi maana wanawake wanakuwa busy ila hawajui goals zao zitawafanya kuishia wapi.

Inakuwa haina tofauti na mtu anayejiunga na usalama wa taifa kukimbizana na ukachero halafu mwisho wa siku uzee ukianza muingia anakuwa hana faida tena anatemwa na hapo anagundua ujana wake alikuwa anahangaika na mambo ambayo hayakuwa na msaada kwake hata kidogo mwisho wa siku.

Anyways tuwe makini.
 
Inabidi mods wawaanzishie jukwaa la ushoga sasa.

Watu wanajadili michezo we kichwa chako kinawaza machoko, hivi mtoto wa kiume unakuwaje comfortable kuongelea mambo ya mashoga kila saa.
 
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike.

Hivyo basi GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) namuomba Mheshimiwa Rais Samia kuwa kwakuwa kumbe kuna Hela za Kuchezea za Kununua Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars hata Wakiyafunga 1000 tunaomba kwa Upendo na Utayari wake huo huo atulipie / awalipie Watanzania Wote hii / hiyo Tsh 600,000/ ya Bima ya Afya ya mwaka.

Na kiukweli tutamshukuru na hata pengine kumuomba awe Rais wetu wa Milele / Maisha.
Toa za kwako
 
Watanzania katika ubora wenu wa kutoridhika na lolote, katika ubora wenu wa kulalamika mkijifanya mnajua kila kitu.

Pesa wanazopewa timu zinaposhinda ni hizi hizi za tozo unazolipa kila unapompigia simu mjomba kule Sirari au Isevya ni hizi hizi tu hakuna zingine.

Lipa kodi na pesa za bima ni hizo hizo, za kujenga barabara ni hizo hizo, za kutibu wazee ni hizo hizo. Kumbuka mpira ni biashara kubwa sana duniani.

Kagame katumia shilingi milioni 500 kwa ajlli ya kikao cha FIFA cha ndani ya wiki moja tu, zinakwenda kurudi mara kumi zaidi ya hizo. Pia kumbuka huyu ndiye aliyewezesha maneno ya Visit Rwanda yawe katika vifua vya jezi za Arsenal na PSG.

Samia anapita humo humo walikopita kina Kagame na viongozi wengine wenye maono ya hali ya juu.
 
Mara kila goli sijui team inapewa hela
Mara tena kila bongo movie bongo fleva msanii anavuta mpunga,
Kaz kweri kweri

Ova
 
Watanzania katika ubora wenu wa kutoridhika na lolote, katika ubora wenu wa kulalamika mkijifanya mnajua kila kitu.

Pesa wanazopewa timu zinaposhinda ni hizi hizi za tozo unazolipa kila unapompigia simu mjomba kule Sirari au Isevya ni hizi hizi tu hakuna zingine.

Lipa kodi na pesa za bima ni hizo hizo, za kujenga barabara ni hizo hizo, za kutibu wazee ni hizo hizo. Kumbuka mpira ni biashara kubwa sana duniani.

Kagame katumia shilingi milioni 500 kwa ajlli ya kikao cha FIFA cha ndani ya wiki moja tu, zinakwenda kurudi mara kumi zaidi ya hizo. Pia kumbuka huyu ndiye aliyewezesha maneno ya Visit Rwanda yawe katika vifua vya jezi za Arsenal na PSG.

Samia anapita humo humo walikopita kina Kagame na viongozi wengine wenye maono ya hali ya juu.
Pompoma ni Simba,hajaridhika na kuachwa Kwa Tshabalala na Kapombe,hivyo ndiyo maana anaisagia kunguni Taifa Stars

Acha mama amwage pipi
 
Back
Top Bottom