Rais Samia ukimaliza kuchezea Pesa kuisaidia Taifa Stars tunakuomba uwasaidie na Watanzania wote kwenye jambo hili la Muhimu

So what she did unaona ni sawa?
Ni sawa kwa sababu anahamasisha michezo kwa vitendo na Tanzania ikiweza kwenda AFCON mwakani huko Ivory Coast italitangaza taifa letu vizuri zaidi.

Tunachosahau ni ukweli kuwa ule ushawishi unaokuwemo katika mafanikio ya michezo unagusa moja kwa moja sekta nyinginezo.
 
Brazil soka ndio tunu yao ya Taifa.
 
Hii nchi ngumu sana bro. Kuna ujinga unaendekezwa sana
 
MAMA KIUCHUMI KAVURUNDA HATARI...SASA WAPI PA KUJISAFISHA KISIASA...ILI AZUNGUMZWE VIZURI..?

TANGU AINGIE MADARAKANI KUNA LIPI LA MAANA AMELIFANYA? UKIACHANA NA MASLAHI YA WANASIASA (Akina zitto, mbowe na wenzake)...AMBAYO HAYAMGUSI MOJA KWA MOJA MTU WA CHINI...
 
Hii ya 160k na 600k umeitoa wapi mkuu na sisi tujisomee?
 
Tatizo ni Ccm, Mama yeye ndio NHIF? Mama ndio waziri wa fedha? Mama ndio waziri wa Nishati? Mama ndio waziri wa kilimo?

Namna ya kutibu tatizo kwa usahihi ni kuipumzisha Ccm waje watu wapya na maarifa mapya.

Umeongea pumba kweli, ina maana Rais hajui vinavyoendelea nchini? Bhs tuseme hatuna Rais kama anashindwa kujua wizara zake
 
So influence nzuri kwa upande wako ni hii anayofanya ya kutoa promise za millions of money kwa wachezaji? wakati huo huo kuna umma unalalamika kwa kuchangishwa mchango ambao serikali ilikuwa na uwezo wa kuumudu?
 
Mkuu salaam! Nimepitia maoni yako lkn sikuona hoja ya kimantiki, Rais ni Kiongozi wa Kitaifa anachokifanya kipo sahihi kwa asilimia 💯 na ufanywa na viongozi wote wakuu Ulimwenguni, Hoja ya Bima zipo mamlaka husika na mihimili mingine kama Bunge, Nongwa na ghiriba ni adui wa maendeleo ya Afrika.
 
Taifa stars ni ambassadors ambao wanatangaza taifa.., wewe na ndugu zako huenda hata mkifa mtapunguzia mzigo Taifa ya kuwalipa pension / matibabu / malalamiko kama mtaendelea kuishi..... Logically it makes sense ila na nyie mkijiunga mkalialia lia sana na kusifia asubuhi mpaka jioni huenda mkapata makombo kidogo....
 
So influence nzuri kwa upande wako ni hii anayofanya ya kutoa promise za millions of money kwa wachezaji? wakati huo huo kuna umma unalalamika kwa kuchangishwa mchango ambao serikali ilikuwa na uwezo wa kuumudu?
Hakuna serikali inayokamilisha ahadi zote, huko USA kuna ombaomba wanalala nyumba za kwenye maboksi lakini hawachoki kusaidia kilimo na afya bara la afrika. Si wangeanza kwanza na maskini wa mitaa ya Baltimore, Mississipi na New Orleans?.

Hakuna serikali inayoweza kukamilisha kila kitu, tupunguze hizi nongwa zisizo na msingi eti rais anatumia pesa nyingi kwenye michezo, tujaribu kuweka uhusiano kati ya pesa hizo na ushawishi wa Tanzania kimataifa, naamini upo tena mkubwa tu.
 
Hivi unajisikiaje kuiga user I'd ya mtu? ndio maana idadi ya machoko inaongezeka.
HUyu
Hao ni wanasimba waliokasirika baada ya Kapombe na Tshabalala kuachwa kikosi Cha Taifa Stars
 
HUyu

Hao ni wanasimba waliokasirika baada ya Kapombe na Tshabalala kuachwa kikosi Cha Taifa Stars
Watulie tu makocha wanaipenda Tanzania kama wao wanavyoipenda. Kocha hawezi kumsikiliza kila mtu kila wakati, atapoteza hadhi ya kuitwa kocha mkuu wa Stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…