Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

I think it wasn't right!! Not right! Angesifia utendaji kazi wake tu..ila sio usomali..kwakuwa usomali ni utaifa wa Somalia sio Tz, pia nchi hii ina makabira yanajulikana kwa kilimo kanda kwa kandahar.. kama huko alikokuwa angesifia makabila ya huko hata kama hayana kiongozi mkubwa serikalim, but all in all alitaka kumanisha Waziri Bashe ni hard worker kwenye wizara husika
 
Sasa kama yeye hawezi kuelezea wahusika (walengwa) na wanaomuelewa sio wahusika basi ameshindwa kazi..., after all more than anything lazima aeleweke ili watu waende sawa na sio confusion na kupiga siasa kwenye mambo muhimu...

Kwahio alivyosema mwanzo mkulima auze popote pale bila shida na wakulima wakashangalia na kuona walaji ni wapenda dezo regulations ziliingia kapuni ?

Na pale chakula kilipopungua wakasema watu watunze na Bashe akasema wauze tu lakini wauze wakiwa na vibali ni kwamba hizo regulations zili creep from where ? (In short ni mkulima gani mwenye vibali au tunarudi pale pale kwamba wafanyabiashara ndio wanunuzi which was the case hata kabla hajaleta siasa zake)?
Wewe utamuelewa vipi na haulimi wala hausafirishi mahindi?

Kawaulize wanaolima na wanaosafirisha wamemuelewa au hawajamuelewa?

Umesikia kuwa Zambia na Malawi wamesaini mikataba ya kulishwa mahindi ya Tanzania?

Bashe juu zaidi.
 
Sasa kijana umekosa hoja, unaanza kutaka kuyajuwa mambo ya nyumbani kwa watu?

Au ni walewale?
Kwasababu umekiri kuwa mmarekani anauwezo wa kugombanisha kwenye familia yenu,kwahiyo inaonyesha anaweza kukufanya chechote kile na wewe ukawa unamwangalia tu kwasababu kakuzidi akili
 
Back
Top Bottom