Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Mipango na usimamizi mwema, kabla ya ujio wa Bashe, hekta moja ilikuwa inakutolea tani moja na nusu ya mpunga, baada ya Bashe kuanza kuweka mipango sawa mwaka huu tumeanza kupa tani 4 kwa hekta hiyohiyo, na bado haitoshi, anataka kuna siku ifike 10.
Kamsimamia nani ?
 
Ikiwa mmeshindwa kumuelewa Bashe kuhusu regulations za export, hamtoweza kuelewa chochote kingine.
Sasa kama yeye hawezi kuelezea wahusika (walengwa) na wanaomuelewa sio wahusika basi ameshindwa kazi..., after all more than anything lazima aeleweke ili watu waende sawa na sio confusion na kupiga siasa kwenye mambo muhimu...

Kwahio alivyosema mwanzo mkulima auze popote pale bila shida na wakulima wakashangalia na kuona walaji ni wapenda dezo regulations ziliingia kapuni ?

Na pale chakula kilipopungua wakasema watu watunze na Bashe akasema wauze tu lakini wauze wakiwa na vibali ni kwamba hizo regulations zili creep from where ? (In short ni mkulima gani mwenye vibali au tunarudi pale pale kwamba wafanyabiashara ndio wanunuzi which was the case hata kabla hajaleta siasa zake)?
 
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.

Huyu Waziri aendelee kubaki kwenye Wizara hii hadi 2030.
Nitaendelea kumuombea kwa Mungu aendelee kubaki kwenye nafasi hii na kwenye Wizara hii
 
Hapana, wae siyo Wasomali ni Wahabashi (Ethiuopia).

Wasomali waliondoka sana zamani wakati wana vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyochochewa na Wamarekani, na vibaraka wao wa Afrika kama Kenya wakajifanya ni vita yao kwa kununuliwa na Wamarekani.

Sasa machafuko yamekwisha Somalia, wanaenda spidi ya ajabu.

Kila kwenye dalili za mafanikio Afrika, marekani na mashoga wengine wa magharibi, lazima waingize fitna.
Marekani wana uwezo wa kukuchonganisha wewe na mumeo?
 
Anayewajua ndugu wa Bashe waliooa au kutolewa na wasio msomali amuweke humu
 
Sijui ni lini watu waliojaaliwa kuongoza Afrika wataanza kuongoza nchi zetu...
 
Pesa ya pikipiki 700 kila mkoa ni mafanikio makubwa sana ya kuwanyonya Watanganyika ambao zaidi ya 80 ni wakulima.

Dharau kubwa sana kwa watanganyika wanaokufa kwa jembe la mkono huku kodi zao na tozo za mazao zikiwanufaisha wageni waliovamia nchi na kuteka mafaraka kupitia CCM.
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania, katika Uwaziri wa Bashe, Tanzania tunajitosheleza chakula mapema sana katika mwaka na tuna ziyada (surplus) ya chakula kwa asilimia 20.
Ziyada ❌

Ziada✔️

Hivi huko Canada ulienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom