Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Kwahio tuna surplus ambayo imeshindwa ku-satisfy mahitaji ya hata omba omba wa Dodoma ? By the way chakula ni kwa ajili ya Serikali (kama mapambo na data) au ni kwa ajili ya wananchi kitaa ambao wanalalamika bei za vyakula haziendani na purchasing power yao ?
Ommba omba hata akiwa na chakula ni lazima aombe tu, ni tabia za kitumwa.

Ukiuendekeza umasikini unakukumbatia - Mama Samia.
 
kenya mkuu wa intelijensia waliweka msomali ili wasomali wakibinywa wasilalamike, ionekane wanabinywa na msomali mwenzao. upande wa mandela na kule kupakana na somalia, al shabab wanawasumbua sana, na ukiweka intelijensia ya mkristo watasema tunapigana na kafiri, wao wakaweka ndugu yao.
20% ya Wakenya ni Wasomali.

Wasomali Kenya na Somalia ni kama Wamasai Tanzania na Kenya au Wamakonde Tanzania na Msumbiji. Niendelee?
 
Masikini choka mbaya mtapiga mbaambaa humu, halafu mtakojoa na kulala.

Mkiamka Bashe bado anapeta, wewe saa hiyo unisikilizia njaa ya asubuhi hata mia mbovu huna
 
Tanzania kuna kabila la wasomali ?
Hamna ila wapo,

Mwaka 1982 ndugu yangu alihamishiwa kikazi vijijini ndani huko mbeya utengule.

Siku akaomba kwa mzee nimtembelee nilipofika nilikuta kuna familia kubwa tu ya wasomali.

Walikua wana duka kuubwa,mashine na mgahawa au tuseme restaurant.pia mashamba.

Sasa sijui walienda lini huko.
Mi niko mdogo kabisa.

Kwasasa utakuta ile familia wamezaliana wako wengii sana km bado wapo.
 
Na hao wanaolalamika mfumuko wa bei za vyakula wapo nchi gani ?

Haikuwa Tanzania baada ya Bashe kusema hapangii wakulima sehemu ya kuuza na baadae yeye na Samia wakaja na U Turn kwamba hakumaanisha wauze tu ]
Ikiwa mmeshindwa kumuelewa Bashe kuhusu regulations za export, hamtoweza kuelewa chochote kingine.
 
Back
Top Bottom