Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Mkuu?! Hi ni Chai ya Sukari ya Bashe.
Huwa situngi uongo kufurahisha genge boss
Ilikuwa mwaka 1982 ingawa sikuwa nchini lakini habari za hivi huwa hazinipiti
Hii sio chai na Wasomali ni Wakenya kama wengine na wana vyeo vikubwa sana
Na wwbunge wamo wa kutosha

Jisomee mkuu utaelewa mengi sana
Haya mapinduzi yalifeli maana walitaka na msomali ashiriki na vikosi vyake wapindue nchi pamoja yaani Kuanzia Air, sea na ardhi

Alikubali halafu akamtonya Moi
Screenshot_20240715_200422_Google~2.png
 
Nakazia tu umuhimu wa Bashe pale Wizara ya Kilimo, amefanya mambo makubwa

Mlale Unono 😀
Stereo typing, dunia in a kwenda kisayansi, kila kitu kinafundishika.

Sio kwamba ni wachaga tu ndio wanajua biashara, au sio wahaya tu ndio wasomi.

Sifa zao zinafundishika vzr tu hata kwa wengine, sekta nyeti za uchumi, zinahitaji sayansi na tekinolojia, sio kabila LA mtu
 
Stereo typing, dunia in a kwenda kisayansi, kila kitu kinafundishika, sio kwamba ni wachaga tu ndio wanajua biashara, au sio wahaya tu ndio wasomi, sifa zao zinafundishika vzr tu hata kwa wengine, sekta nyeti za uchumi, zinahitaji sayansi na tekinolojia, sio kabila LA mtu
Spirit 😃
 
Hizo zinaitwa "conspiracy theories", hata Nyerere kuna waliwahi kusema ni Mnyarwanda.

Mkapa walisema ni mtu wa Msumbiji.

Lisikutishe sana, wengi wameshutumiwa kuwa siyo raia. Lakini mpaka mtu kama mwendazake ampe uwaziri! Bora ingekuwa uwaziri kauanzia kwa mama Samia wangesema "Muislam mwenzake, mama kishaiuza nchi kwa wasomali".
NGoja nikustahi tu
 
Nakazia tu umuhimu wa Bashe pale Wizara ya Kilimo, amefanya mambo makubwa

Mlale Unono 😀
Dharau hizi.
Bashe kaleta Mbolea za ruzuku katuletea uhaba wa Mbolea.
Sasa ni mwendo wa biashara magendo (contraband) kwenye mbolea.
Kaanzisha ule mradi wa vijana wa kuwaweka camp kuwapa capital na ardhi kafeli ni ufisadi mkubwa.
Mengi Sana kafeli.
 
Ngoja nimgoogle...

Nimemsoma aisee!!

Mimi nilikuwa najua Wasomali wako Loyal kwenye Clan zao tu.?!
Thank you very much
Mkuu unaona Somaliland kwanini imetulia sana na watu wanauza dhahabu barabarani kama nyanya?
Kwa sababu wako loyal kwa kila mmoja

Sasa kuanzia leo uwe unaniamini 😄
Nashukuru umeenda kumsoma ila wengine huishia kubisha na matusi juu

Nawajua wasomali na nimeishi nao na mwaka 78 nilikwenda kutembea huko
 
Ninajua hasira zako lakini huwezi kuifananisha Somalia na Botswana au Ethiopia na Kongo Waafrika ni NDUGU.
Point yangu ni kuwa Wabantu ni jamii ya watu hovyo, hata wakiwa na rasilimali nyingi kiasi gani...ndio watazidi kuuana hata ndugu kwa ndugu

Wasio wabantu hawana hulka hizo na kama yupo aliyonayo basi ni mmoja au wawili katika 100

Hata wakiwa miongoni mwa ngozi jeupe hawapendani pia
 
Back
Top Bottom