Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

80% ya Wasomali ni wakulima, 70% ya GDP yao inatokana na kilimo, ingawa kwao ni ukame na wanategemea mito miwili tu kwa kilimo nchi nzima.

Pia wapo wafugaji na wapo wavuvi.

Wako vizuri sana kwa kuchapa kazi.
Hakuna watu wavivu duniani kama wasomali, tunaishi nao kitaa tuna wajua, labda wanalima mirungi pekee
 
Back
Top Bottom