Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wakati sisi tunafikiria dona la jioni na watoto wetu, wenzetu mnawaza kugawana vyeo na watoto wenu.
 
Ukifikia National Cake tayari unakuwa na Circle yako ya watu ulio struggle nao huo muda wa Kutafuta Waadilifu unautoa wapi tena? Nani anapenda kuwa Inner Circle ya Strangers?
Zimwi likujualo
 
Anahubiri maji huku anakunywa mvinyo.

Hao waaadilifu alionao ndio hawa?
images (66).jpeg
 
kiongozi wa upinzani kamtaja Mkuu wa Mkoa Arusha kua ndio aliongoza genge lililomshambulia kwa risasi 17 mwilini Bado RC yupo kazini /mamlaka ya uteuzi haijataka kumtoa kupisha uchunguzi........UADILIFU
Kamtaja kwa kuweka ushahidi upi? Yule ni mropokaji tu
 
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upuuzi mtupu katika wateule wake wote nani muadilifu? Makonda anauadilifu upi? Majariwa anauadilifu upi? Chalamilla anauadilifu upi? Tulia anauandilifu upi? Mpina na mwiguru nani mwenye uadlifu zaidi?
 
Wewe umefupisha.alisema ukiwa mwaminifu Kwa mamlaka ya uteuzi.L Ni ukichaa kupata cheo Kwa sababu ya kuwa mwaminifu Kwa mamlaka.mamlaka tutaiamini tu pale inapotekeleza wajibu wake Kwa weledi na siyo vinginevyo
 
Havigawiwi vyeo bali majukumu.
Wewe ndiye msemaji wake! panya buku wewe. Mimi ninamzungumzia Samia ambaye ni rais, simzungumzii Samia mwenyekiti wa CCM. Nakushauri ujifunze kujua mipaka yako kwenye uchawa, Samia anazo pande mbili za maisha ya kila siku, mmoja ni rais yaani kiongozi wa watanzania wote na mwingine ni kiongozi wa wanaccm tu.
 
Peleka ujinga wako huko.
 
Back
Top Bottom