Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Ni watu safi, waadilifu, wazalendo na wachapakazi sana.Upuuzi mtupu katika wateule wake wote nani muadilifu? Makonda anauadilifu upi? Majariwa anauadilifu upi? Chalamilla anauadilifu upi? Tulia anauandilifu upi? Mpina na mwiguru nani mwenye uadlifu zaidi?