Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

Upuuzi mtupu katika wateule wake wote nani muadilifu? Makonda anauadilifu upi? Majariwa anauadilifu upi? Chalamilla anauadilifu upi? Tulia anauandilifu upi? Mpina na mwiguru nani mwenye uadlifu zaidi?
Ni watu safi, waadilifu, wazalendo na wachapakazi sana.
 
Hivi wewe ulishawahi kukemea kuhusu utekaji?au ubadhirifu wa mali za uma,unyanyasaji wa polisi kwa rai wema,mauwaji na kero nyinginyingi tu huwa huzioni?
 
Umeandika uzushi na uongo mtupu. Kila mmoja anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na serikali yetu katika wilaya ya chunya chini ya mheshimiwa Itunda
 
Umeandika uzushi na uongo mtupu. Kila mmoja anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na serikali yetu katika wilaya ya chunya chini ya mheshimiwa Itunda

Kama nimeandika uzushi, weka ukweli hapa! Ili Dunia Ione.
1. Weka picha ya mahali watu wanachota maji safi na salama, itumbi,nyamtondo , lupa na matunda hapa.
2. Weka picha ya kituo cha polisi hapa ,polisi wakiwa kituoni Matundasi au itumbi
3. Weka picha ya ofisi ya uhamiaji wilaya ya chunya
4. Weka picha ya shule ya sekondari itumbi, matundasi hapa
5. Weka Barabara za lami lupa na itumbi hapa
6. Weka picha ya kituo cha afya cha kata matundasi, itumbi hapa
7. Weka picha ya mochari itumbi, nyamtondo, au matundasi hapa
9. Weka picha ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wachimbaji wadogo itumbi hapa.
10. Weka picha ya ambulance ya kituo cha afya nje ya chunya mjini hapa.
 
Kupeana na wala sio uadilifu.
Rushwa, utekaji na mauaji wanalindana kupeana vyeo.!
 
Muadilifu ni mungu pekee. Hawa binadamu wanafiki tu.
 
We mbona cheo hakikufuati chawa wa mbwa.
Wauaji wanajuana kwa vilemba
 
Mbona Mimi nilikuwa muadilifu kweri kweri lakini nikaachwa kwenye mataa ?? 😳🙄 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…