Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

Hivi uadilifu ni maneno au vitendo?
Ni vitendo kama ilivyo kwa Mama yetu na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mzalendo wa kweli wa Taifa letu.
 
Haikutakiwa kuwa: Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo.
Bali inatakiwa kuwa: Rais Samia: Ukiwa Chawa Vyeo Vitakufuata Ulipo
 
Sa
Sahihi kabisa hii
 
Mwamba ni Mzalendo na muadilifu sana.ndio maana amefanikiwa kuaminiwa na Marais Takribani watatu kuanzia wakati wa Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete mpaka sasa wakati wa Jemedari wetu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan
!
Unajua maana ya Neno β€œJemadari β€œ wewe ?
Au unajiandikia tu?
Usione ninavyomwita Tundu Lisu Jemadari ukaiga.
Tafuta kujua huwa linatumika ktk vigezo na masharti gani?
Huyo Rais unaweza kumwita Amiri Jeshi Mkuu ikaeleweka lakini usiige maana usizozijua wajuvi watakuona kituko.
 
Embu peleka huko ujinga wako.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya uadilifu na uzalendo nadhani tujikite kwenye uzalendo tu waungwana.
 
Aache utapeli, vyeo vinatolewa kwa machawa. Yeye ameona vyeo ni kitu cha maana sana? Yeye ana uadilifu gani zaidi ya kuwa mtekaji na muuaji?
 
Uadilifu wa akina basite na mavwele ni upi
 
Mbona Mwashambwa cheo hakijamkimbilia?
Sijapenda!
Nimebubujikwa na machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…