L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Oct 1, 2024 Thread starter #81 Tindo said: Aache utapeli, vyeo vinatolewa kwa machawa. Yeye ameona vyeo ni kitu cha maana sana? Yeye ana uadilifu gani zaidi ya kuwa mtekaji na muuaji? Click to expand... Mdomo wako una matatizo makubwa sana.endelea kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama mlevi wa gongo
Tindo said: Aache utapeli, vyeo vinatolewa kwa machawa. Yeye ameona vyeo ni kitu cha maana sana? Yeye ana uadilifu gani zaidi ya kuwa mtekaji na muuaji? Click to expand... Mdomo wako una matatizo makubwa sana.endelea kuropoka ropoka Hovyo hovyo kama mlevi wa gongo
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Oct 1, 2024 #82 Lucas Mwashambwa said: Mimi Sitafuti vyeo hapa jukwaani Click to expand... Kumbe uko na gagula wako mkiruka majeneza huko Tukuyu, ndiyo maana mpaka sasa hajafanikiwa zaidi ya kuponea maokoto toka kwa gagula.
Lucas Mwashambwa said: Mimi Sitafuti vyeo hapa jukwaani Click to expand... Kumbe uko na gagula wako mkiruka majeneza huko Tukuyu, ndiyo maana mpaka sasa hajafanikiwa zaidi ya kuponea maokoto toka kwa gagula.