Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

HUYO BIBI NI MWEPESI KUDANGANYWA NDYO MANA KAANGIZWA KWENYE KING NYNG YA UTEKAJI MAUAJI KESI ZISIZO NA MIGUU NA WANJANJA AKINA MWIGULU
 
Thats too obvious, nchi zote low income au emerging markets zinakua GDP kuliko nchi kubwa hiyo inafahamika miaka yote. Hata vyama usishangae kusikia ACT inakua kwa kasi kuliko CCM, maana asiye na kitu akiongeza kidogo ina impact kubwa kuliko mwenye wanachama million 20 room for growth ni ndogo zaidi.

Ukubwa wa uchumi tuaangalie GDP sijui GNI sio growth maana unaweza ukawa unakimbia spidi ila upo kilometer 50 nyuma!! Does it matter?
 
Kipindi Mwingulu akiwa waziri wa mambo ya ndani Lissu alikula makombora.

Sasa yuko karibu na mheshimiwa Lissu ni mhaini. Hawa si Singida moja jamani?

Nimeuliza kwa nia njema.
Mwigulu alimtuma aropoke huko mtandaoni?
 
Tutafika tumechoka. Sasa tumuamini nani wandugu
 
Sahihi, my point is hata yeye hajakosea kusema hivyo. Na lengo lake wala halikua hilo alikua akielezea uchumi wao umedorora kukua sababu ya vita, hatuwezi kuwategemea kutupa msaada inabidi tujitegemee wenyewe na kutoa huo mfano wa sisi kuwa na growth kubwa zaidi yao sasa hivi.
 
Kwanini tuongelee Ulaya in the first place ?; Cha maana maisha kitaa yawe rahisi jambo ambalo sivyo.., pili sababu ni tegemezi basi kweli uchumi wa nchi hizo ukienda ndivyo sivyo sisi tutaathirika sababu tunategemea Dola zao kuendesha maisha yetu...

Anyway nilishasema tunapoelekea tulishapotea kitambo na haya mambo ya technicalities ni kificho za kupigwa kama raia...,




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…