Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Mtu aliyeongelea matiti ya wanawake wenzake unategemea nini cha maana kitoke kichwani mwake?

Huyo huyo aliwahi kusema Rais huwa hakosei!

Anayaelewa kweli mambo ya uchumi huyo?
Katika maongezi ambayo hajaandaliwa, kila akifungua mdomo wake anadhihirisha kuwa ni mjinga kuliko nilivyofikiri.

GDP ya Tanzania inazidiwa mara nyingi na net worth watu tu raia wa Marekani kina Musk, Zuckerberg, Bezos, Ellison, Gates etc.

Uchumi wa Tanzania haulinganishwi na nchi ya Marekani, unalinganishwa na Mmarekani mmoja tu na kujikuta unaingia mara tatu mpaka nne.
 
Ila watanzania bwana, amesema Economic Growth na sio GDP,

Hizi ni nchi zizokua na Ongezeko kubwa la uchumi
View attachment 3371622
Tanzania tupo kama Nafasi ya 15 hivi.
Wapi kasema growth?

Halafu growth kutoka wapi?

Nchi zilizochakazwa kabisa kiuchumi si ajabu ziwe na fast economic growth, zinatoka chini kabisa. You can't fall down from the ground, the only way is up.Watu wenye chumi kubwa hawana growth kubwa jwa sababu washakua kiuchumi tayari.

Kushangikia fast econonic growth bila muktadha ni ujinga.
 
kwahiyo hao wa simiyu wamejibu nini?
 
 
ngoja kwanza niwaulize GenZ wa Ruto kama ni kweli?
 
ila sio kosa lake, Madelu na Kitila ndio wamemwabia hivo!
 
Au Delaware mkuu au North dakota?
 
Ila watanzania bwana, amesema Economic Growth na sio GDP,

Hizi ni nchi zizokua na Ongezeko kubwa la uchumi
View attachment 3371622
Tanzania tupo kama Nafasi ya 15 hivi.
Hizo asilimia zinaonekana kubwa kwa sababu uchumi wetu ni mdogo, mapato yakiongezeka kidogo tu unakuta ni ongezeko la asilimia 8 huko, ila unakuta USA ikiongezeka asilimia 1 tu hela yake ni kubwa kuliko Tanzania ikiongezeka uchumi asilimia 100
Bado hali yetu ni mbaya
 
Kiukweli nilijuaga ili uwe prezdaa wa taifa unapaswa kuwa na upekee flani hivi,,,,ila kila nikimchunguza huyu mama yenu nafikiri hata mim nikijiweka sawa kwenye swala la connection naweza kuongoza taifa hili,,,,kama mtu mwenye akili ndogo hivi anaongoza vipi mim nitashindwaje???
 
Au Delaware mkuu au North dakota?
Ki state cha Delaware kilikuwa na GDP ya USD 79.65 mwaka 2024. Tanzania GDP yake ilikuwa dola bilioni 79.06 mwaka 2023.

Uchumi wa Tanzania unalinganishwa na uchuni wa state ya Delaware.

Katika states 50 za Marekani, Delaware ni ya 49 kwa ukubwa.

Tanzania huilinganishi na Marekani, utailinganisha na vi state vidogo hivi kama Delaware na Rhode Island.
 
Upo sahihi ila haimfanyi yeye kutokua sahihi, ukuaji wetu ni mkubwa sababu sisi ni masikini ni sawa, ila pia mtu akisema ukuaji ni mkubwa kuliko Ulaya yupo sahihi, Nchi zote kama India, Niger, Rwanda, Ethiopia, Libya, Tanzania etc zina Ukuaji mkubwa wa Uchumi.
 
Hapo Bado haujazungumzia matajiri wa GreenvilleπŸ˜… deleware
 
O
OKTOBA TUNA βœ”οΈ
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kudaaaadeki tuna rahisi kwa kweli. Pole yetu Tanzania. Watu ambao uchumi wao umefikia level ya mwisho kiukuaji yaani ufananishe na huku kwenye kubet katika uwekezaji. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nchi ambayo hata bajeti haifiki robo ya jimbo moja la canada not US
NO REFORMS NO ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…