Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

Unakumbuka xenophobia
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Kama wa kwetu hawataki tufanyeje
 
Wewe acha NGEBE zako!! Kuna box la maoni pale chamwino peleka maoni yako ikiwezekana apply ikulu ili upate kaz ya kua mshaur wake mkuu wa masuala ya uchumi. BTW acha hasira pindi unapoandika bandiko lako.
 
Sijui chochote kuhusu xenophobia.
.
Naomba unielimishe juu ya maswali yangu
Biashara lazima iwe Win Win.

for whatever value you give you must get something of the same value.

Sisi tunaweza kuwakaribisha Wachina, Waturuki, Wajapan waje kutujengea barabara kwa sababu tutapata barabara na tutapata ujuzi, sasa sisi tukiwaita watu waje kufanya kitu kwenye ardhi yetu ambacho sisi wenyewe tunaweza kufanya, inakuwa ujinga au utoto?
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Mama anahimiza Wakenya waje wawekeze kwenye madini maana yuko kikazi huko Kenya, na alikuwa anaongea na wafanyabishara. Unataka ahimize hao matajiri hapa kwani nani kawazuia mpaka awahimize? Kwahiyo ulitaka awahimize matajiri wa Tanzania akiwa kwenye mkutano na wafanyabishara wa Kenya? Je kama matajiri wa Tanzania hawataki hiyo biashara huyo mama awashikie mtutu wa bunduki?
 
Wewe acha NGEBE zako!! Kuna box la maoni pale chamwino peleka maoni yako ikiwezekana apply ikulu ili upate kaz ya kua mshaur wake mkuu wa masuala ya uchumi. BTW acha hasira pindi unapoandika bandiko lako.
 
Wewe acha NGEBE zako!! Kuna box la maoni pale chamwino peleka maoni yako ikiwezekana apply ikulu ili upate kaz ya kua mshaur wake mkuu wa masuala ya uchumi. BTW acha hasira pindi unapoandika bandiko lako.
Haya
 
H
Hayo bwana ni mawazo yaliyopitwa na wakati, ambapo Williamson alipofika kule Mwadui na kuwakuta babu zetu wakicheza bao kwa kutumia almasi...kama unashindwa kujua thamani ya ulichonacho,basi afadhali wengine waje wakionyeshwa na kukupa angalau faida ya kitu hicho na kusaidia kizazi chako na cha baadae... badala ya kuendelea kung'ang'ania kuogelea kwenye kundi la umaskini....
 
Punguza hasira ndugu, jibu kwa hoja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
tuchape kazi tuwe aggressive tutafute hela tuache kudeka na kudemka
Huwezi ukawa Aggresive bila kujiwazia

Nakumbusha tu

Trump Threatened Then-WTO Chief With U.S. Withdrawal​

Trump demanded that Roberto Azevedo, who was the WTO’s director-general, designate the U.S. a “developing nation” like China and India in order to get more favourable trading terms, Trump told Woodward in a Jan. 22 interview.
 
Maendeleo lazima yawe jumuishi.

Sisi kitugani tutaenda kufata Kenya?

Almasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…