Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

Kwa kweli binafsi naona kachemka sana. Kawekewa tego anaingia mazima ma nchi
 

Rostam alitaka kuwekeza Kenya hadi sasa miaka 3 bado anazungushwa, Kenya wanabaguana kwa Ukabila alafu sisi tunawaita tu
 
Mama kama anataka kuwapa ardhi awapeleke Zanzibar sisi watanganyika ardhi hii ninya kwetu
 
Yaani bunge likusikilize mjinga kama wewe usieona mbele wala nyuma?
Mkuu wewe ni mtu hatari sana! Hakuna Mkenya mwenye mtaji wa kuwekeza kwenye madini? Yaani unajua mitaji ya wakenya wooote?

Mbona Mzee mengi aliwekeza kwenye madini? Au hakuna tajiri wa mtaji kama wa Mengi Kenya?
Umeongea kwa Chuki sana hadi umeharibu mtiririko wako

Hivi unadhani hao wazungu mnaowakubalia kuwekeza sijui Barrick sijui Anglogold wanakujaga na mitaji? Kwa taarifa yako wanakujaga na vichwa vyao tu pesa wanaingia bank kukopa wakishapata mgodi
Huyu jamaa kilasa sana.
Mikenya ina pesa sana tu sema ni mafidi papa
 
Alafu sisi tumeambiwa tukauze Mshind Yan wakenya na ujinga wao wote tunao fikiriaga Wana kumbe sisi mazoba
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Kwani mabilionea wetu wamekatazwa kuwekeza kwenye madini?
Au hujui kuwa mzee Mengi alikuwa na vitalu vya madini?
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Kwani amewakataza mabilionea wa kitanzania kuwekeza? Amewazuia kushirikiana na wakenya na watu wengine kuwekeza?

Amandla...
 
Dah, inasikitisha Sana.Hapo kwenye ardhi wakenya ndio wanapopakodolea macho hasa mama asije gawa ardhi ya Tanganyika kama njugu kwa kisingizio cha kuvutia uwekezaji.
 
Dah, inasikitisha Sana.Hapo kwenye ardhi wakenya ndio wanapopakodolea macho hasa mama asije gawa ardhi ya Tanganyika kama njugu kwa kisingizio cha kuvutia uwekezaji.
Mama naamini ni msikilizaji na naamini atakuwa mwerevu.

Yaani unamualika Mkenya aje kulima Tanzania alafu anakuja na Jembe ambalo mtanzania anaweza kulinunua
 
Umeandika kijinga sana...Tafadhali rudi shule kwanza.
 
Kipindi cha nyuma tulikuwa tukiwauzia wakenya madini na mambo yalikuwa yanaenda
Sera za awamu iliyopita kwenye madini iliwakimbiza wageni wengi kwanza siyo wakenya tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…