Rais Samia umeanza kutuangusha kabla ya siku 100 za uongozi wako

Kwanza huyu mleta uzi hajawahi kufanya na hajui biashara yoyote,yeye ni bora liende

Ova
 
Yaani watu mna chuki kwa raisi kipenzi cha watu, kamfufue sasa mwendazake ili aje kuwadanganya na takwimu za uongo mara samaki wapo milion kadhaa, sijui dagaa bilion kadhaa hesabu za kiendawazimu kabisa hizi
 
Liwalo na liwe mama amerudisha furaha kwenye mioyo yetu ..Kama alivyosema Nyalandu!
Mengine baadaye!
Mkuu hilo ndilo la muhimu kuliko yote, watu walikuwa wakiishi kama wako jela tena jela yenyewe ya ugenini!!maisha gani hayo, hao wote ni MASALIA YA MEKO, bado hayaamini.yaani utadhania meko alikuwa maraika , mfano mzuri hiyo may mosi hajaongeza mshahara lakini kauli zake tu, na hayo aliyofanya watu wanaamani!!kuliko lile jamaa kila kitu kufokeana tu!!
 
Hilo la ardhi hapana labda wakenya waende kuwekeza Tanzania Zanzibar lakini siyo Tanzania Bara
 
Pumbavu kabisa wewe,unajua Furaha aliyotupa Mama na Mateso tuliyopitia kwa miaka 5?Una chuki Binafsi Mama anavyopambana kuleta Uwekezaji unaleta Makundi yako ya Kikabila hapa?Kafie mbele huko **nge wewe na Gang yenu,sisi tuko na Mama hamtuambii kitu.
 
Shida kubwa hujamwelewa mwandishi alichokikusudia,lkn unajaribu kumlisha maneno yasiyo yake,
 
Kwa hiyo wewe uko kwenye mifuko ya wakenya? Hayo mabenki yao yaliyojaa humu wewe ndio mtoa mitaji au?

Watu wa bwana yule mnahangaika na mtayeseka Sana kumbuka hapo ni hadi 2030 ,,aidha uhame nchi au uungane
 
Nimesema Tanzania ina Mabilionea wengi kuliko Kenya (Dollar Millionaires wengi), Kwa nini hawa tusiwasisitize.

Unatakiwa uwe na mtaji wa zaidi ya TSH Billioni 500 ndio uhesabiwe wewe ni Mwekezaji mkubwa wa Madini
Uwasisitize wao hawaoni? Jiwe aliwasisitiza wangapi?
 
Liwalo na liwe mama amerudisha furaha kwenye mioyo yetu ..Kama alivyosema Nyalandu!
Mengine baadaye!
hahahah......... hivi we jamaa mungu unasema hawezi kwa sababu kashindwa au kwa sababu kaamua kuwaacha muwe huru kufikiria
 

Tuna ardhi kubwa ambayo haisaidii nchi yetu! Hebu kaangalie kuna vichaka vingapi Tanzania!! Mawazo ya kimasikini😂
 
Ningekuunga mkono ila umejaa. Chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…