Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

Samahani, nini maana ya “ kudra”?
... kudra = nasibu. Waswahili wanakuambia jitihada hazishindi kudra! Kudra ni jambo ambalo hutokea kwa nasibu (bahati) tu pasi na mhusika/wahusika kuweka jitihada zozote! Kwa mfano, ni kwa kudra tu Tanzania iliepushwa na kimbunga Jobo; hakuna lolote tulilofanya kikapita mbali ila ni kwa nasibu tu!
 
Mwache ajipigie chapuo. Ni rais mzuri .
Shida pia wiki chache zilizopita alisema sasa hivi ni mapema sana kuzungumzia uraisi wa 2025.

Pia hakuwa na sababu ya kufikiria Sana uraisi kwa Sasa ikiwa ana mengi ya kufanya kwa kuwa alisema anataka kusimamisha uchumi.
Anapaswa kujiamini, afanye kazi watu watamchagua tu
 
... kwake kutangaza nia ya kugombea na kuwaomba wanawake wamchague ni muhimu kuliko suala la Katiba Mpya ambayo alisema isubiri asimamishe uchumi kwanza! Maajabu hayaishi nchi hii.
 
Shida pia wiki chache zilizopita alisema sasa hivi ni mapema sana kuzungumzia uraisi wa 2025.
Pia hakuwa na sababu ya kufikiria Sana uraisi kwa Sasa ikiwa ana mengi ya kufanya kwa kuwa alisema anataka kusimamisha uchumi.
Anapaswa kujiamini, afanye kazi watu watamchagua tu
Anajichanganya mno, alikataza wenzake waachane na mambo ya 2025 lakini yeye ameshajipitisha kuwa atagombea, anasema vigazeti vinamsemea lakini ukweli ni gazeti la chama chake mwenyewe liliandika habari hizi.

Kuna shida kubwa huko, hamkani si shwari tena. Na hili la kuanzisha makundi(wanawake) halina afya kabisa kwake na chama chake.
 
Aisee..

Shida za Magufuli, matatizo ya Magufuli naona ndiyo hayo hayo aneyarithi huyu mama.

Sijui hajijui kuwa yeye ni Rais wa nchi..? Sijui ni ujinga na upumbavu wa ulevi Wa madaraka tu...? Au mtu akikalia kiti hicho cha Urais wa JMT mara hupatwa na nini?

Mbona wote ni shida tupu, si mwanamke wala mwanaume.?

Mtu ajaye kurithi kiti cha u - Rais wa JMT ni lazima akifanyie utakaso Wa kuondoa roho hii chafu. Hiyo ndiyo salama yetu...
 
Aisee...

Shida za Magufuli, matatizo ya Magufuli naona ndiyo hayo hayo aneyarithi huyu mama...
Shida kwa Hayati Magufuli kulikuwa na parallel government ambayo iliongozwa na kinana. Magufuli akawa anaipinga nakusema sipangiwi..Ingawa watu hawakuelewa sasa wanaelewa kiasi.Pia alijiamini sasa Samia naona anaona kama kuwa mwanamke basi anadharaulika..Inferiority complex.
 
Back
Top Bottom