Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Hapa nakubaliana na wewe, Ila anaelekea huko kwa jiwe. Maana amepiga simu kuwapongeza, ina maana anapenda kutukuzwa
 
Sawa Mkuu, ila huoni kama vile Maza anatumia kaUmagufuri strategy kiasi fulani maana unamsaidia kuongoza na kupata control kirahisi ..... That's my perception!!?
 
kampeni imeanza hio!!
Wamuachie basi Mbowe aje awaoneshe kwenye uchaguzi 2025. Watanzania wa leo sio wa mwaka 47.
Mbowe SIO Gaidi.
 
Hapa nakubaliana na wewe, Ila anaelekea huko kwa jiwe. Maana amepiga simu kuwapongeza, ina maana anapenda kutukuzwa
Kama amepiga simu naona amefanya upuuzi sana anaelekea kwenye style ya kipumbavu sana. Hii Ina maana it was staged na alikuwa anajua maana ametoa wapi namba zao suddenly??

Mpumbavu kanikera.
 
Jean Bedel Bokasa, Rais, Mfalme, Jenerali wa Majenerali wote Afrika ya Kati aliigeuza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya Kitaifa.
Asante Mama yetu, tunaona mwelekeo wako unakotupeleka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana hii!
.
By the way si mnapumua nyie?
 
Na bado
 
Mambo ya Kim Jong Un hayo…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi nafurahia sana!
.
Maana nchi hii kila ovu lilikuwa la marehemu..

Hata alipokufa wakashangilia eti wanapumua,

Ngoja wapumue vizuri sasa. Nashauri ccm fanyeni mnavyotaka ikibidi hata hii shereh iwe ya kitaifa kabisa
 
Mambo ya utukuzaji yalianza na kukomaa enzi za jiwe

Hata hili nalo ni kosa la Magu (R.I.P.) pia ? I mean sasa yeye ataanza lini labda kuwa responsible kama kila kitu ni siyo mimi, si mimi, si mimi, ni yule …
 
Hapo hajatukuzwa, bali wameonyesha mshikamano nae tu. Ni wachawi na wanga tu wasiokuwa na shukrani humu mitandaoni na wasioona anachokifanya katika elimu. Ukweli ni kuwa huku elimuni tunamheshimu sana
Lazima mumheshimu akili ndogo mwenzenu, si unajua akili ndogo na akili kubwa hazikai pamoja?
 
🤣🤣

Na kweli lakini.

Acha mama aendelee kuupiga mwingi.

Halafu siku chache tu baada ya Hangaya kuapishwa, wakaja mbio mbio humu kutuambia eti yeye halindwi na askari wengi wenye mabunduki kama alivyokuwa analindwa marehemu.

Sasa hivi sioni tena wakileta mapicha yao humu!
 
Samia ni Mungu wa Tanganyika, ni Rais wa milele Kama Kagame na Museveni. Hiyo katiba itabadilishwa kimya kimya. Wait and see.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yetu anaitwa tindo yeye hadi alihama na chama kabisa kutoka kumshabikia Lisu hadi kumshabikia hangaya!

Ngoja wanyooshwe vizuri, huku kina nape wakila kwa urefu wa kamba zao mpka zinakatika.
 
Sawa Mkuu, ila huoni kama vile Maza anatumia kaUmagufuri strategy kiasi fulani maana unamsaidia kuongoza na kupata control kirahisi ..... That's my perception!!?
Style ya Magufuli naona imewaafect wengi hapa nchini sababu ilikubalika kwa wapumbavu wengi waliokuwa wanapelekeshwa bila kuelewa jamaa anafanya nini?

Lakini pia hiyo style inatumiwa na wanasiasa wengine kwa sasa yani unakuwa mwizi Ila unajifanya unawapenda sana wamasikini na unawaita wanyonge ili waendelee kukuona wewe ndio mteyezi wao ingali wewe unaishi ikulu na unapiga dili zako fresh kabisa unahakikisha sababu wewe pekee na kikundi chako ndio mnaoiba basi wengine wanakuwa hawaibi ili uonekane unawatetea hao wanyonge.

Style ya Magufuli hata mie nikiingia madarakani nitakutumia kujihakikishia nawatawala wapumbavu mpaka nitakapokufa sababu watu hawaamini kwenye utawala wa kupokezana na kuheshimu Katiba.

Huyu mama anaweza kubakia mpaka atakapokufa Kama aliamua kwenda na style ya Magufuli Ila naona ni kasehemu kadogo sana anafanya hamuwezi Yule dikteta aisee.

Magufuli alihakikisha machinga halalamiki ili yeye anapopiga na machinga asimfuatilie. Yani anakuja anasema hili daraja liwe limejengwa wiki ijayo hapo ni upigaji sababu halina bajeti iliyokaa kupitisha huo ujenzi Wala procurement.

Anaibuka anasema ijengwe lami hapa na hakuna bajeti iliyokaa kupitisha huo ujenzi. Hapo kumbe anahakikisha kampuni zake zinajenga na analipwa fasta sababu halina kusubiri paymaster general aidhinishe vibali vya malipo yani unampigia Rais ndio anakulipa.

Ule ni ushenzi mkubwa ambao watu wameona ndio unafaa nadhani bila Katiba ya maana atakuja kutokea mwehu mwingine akatupa shida sana.

Uzuri wa hii nchi watu hawakubali mambo ya kuingia msituni ni either tunakushauri ukikataa wanakumaliza fasta usisumbue taifa maana alikokuwa anaelekea lazima tu angekuja kupinduliwa.

Uongozi wa kiimla huwa na matokeo mabaya ndio maana Nyerere mwenyewe pamoja na yote alifika sehemu akaamua aachie ngazi wengine watawale maana alibana mno kila siku anataka tuwaze Kama yeye tu.

Akina Kambona wanakuja na mawazo mbadala Ila hakubali anawaza kimasikini tu. Alikoswakoswa kupinduliwa Mara 10 na alipokuwa anaelekea angeshangaa anapinduliwa maana Marekani walikuwa washamuweka kwenye target ndio maana akarudisha utawala wa kidemokrasia .

Sasa huyu mama sitamshangaa maana watu wanapenda kukimbizwa Kama mbuzi ndio wanaona huo ndio utawala Yani unahakikisha hakuna anayehoji kitu wapumbavu ndio wanaona huo ndio utawala. Yaani unalala na mkeo anakushauri kesho ujenge airport kijijini kwenu na unaamka unampigia simu Waziri wa ujenzi akajenge haraka bila kuwaza.

Kimada wako alisema anataka lami mtaani kwao unampigia Waziri wa ujenzi akajenge lami haraka sana.

Huu ndio upuuzi ambao tumefikia tunaona ndio uongozi. Wacha twende na hiyo style tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…