PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna watu nahisi f4 div iv kabisa Tanzania haina miaka sabini....Kwa hiyo unataka kusema MTU Mwenye miaka 75 hakuwepo kabla ya sabini? Tena huko mbali Mwenye miaka 66 Tu alikuwepo kabla ya Tanzania.
 
Ukitaka kuongea umeambiwa uwanja uko wazi mnakaribishwa ila kama mnataka kuleta vurugu, wizi na uharibifu wa mali za watu uwanja upo wazi pia mnakaribishwa.

Mtapokelewa vile mtakavyokuja, hakuna huruma kwa wahalifu.
 
Vijana wa Kitanzania bila kuambiwa ukweli katika nyakati kama hizi, wengi aidha wataozea jela na wengine wataishia kaburini na kuwaachia ndugu zao majonzi. TEC wanachofanya sio sawa, hawana hekima wala busara kuoan amani inatawala kwenye nchi hii na hiyo ndio hulka ya RC duniani.
 
Naona unajitoa ufahamu umeishajiuliza TEC wameishatoa matamko 8 kwa Samia kwa nini?
 
Naona unajitoa ufahamu umeishajiuliza TEC wameishatoa matamko 8 kwa Samia kwa nini?

kwa hiyo? samia alikuwa raisi wa nchi sasa ulitaka watoe matamko dhidi ya nani mwingine kama kuna mauaji ? Kanisa au mtu au taasisi yoyote ina jukumu la kuongea pale uovu unapofanyika, watu wameuliwa mpaka watoto na wanawake ulitaka nani awasemee? kwamba kila akae kimya, halafu what next? ni lazima watu wema wapaze sauti dhidi ya uovu hapa siyo irani …
 
Kwahiyo ndugu,huu ni kwaajili ya ambao hawakusikia au?Sasa na utuambie ni lipo jukumu lako wakati na baada ya hiyo D9?
 
Umeandika utumbo mrefu sana.
 
Umenotice viongozi kutoka Tanganyika hawapo nae kwenye kutetea ushenzi!

She can go to hell
 
Kitima kasema hakuna jipya, kanisa katoliki lina uzoefu wa kuishi na serikali za aina zote; kandamizi na za kidemokrasia. Adolph Hitler mkatoliki mwenyewe aliambiwa ukweli akakasirika akalishughulikia kanisa kwa miaka 12 na kikosi chake cha Gestapo. Hamna mtakalofanya ambalo ni jipya zaidi anguko lenu litakuwa ni kuu na la aibu
 
Kwa hiyo siyo amiri jeshi mkuu bali ni kamanda wa UVCCM?
 
Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi ametenda vyema
Matumizi ya neno "kama" kwenye sentensi.
Kwa mujibu wa AI
===
Neno "kama" linaweza kutumika kama:

Kielezi cha Masharti
  • Kama mvua itanyesha, tutalibadilisha ratiba.
  • Kama angefika mapema, tungeweza kuanza mkono.

Kielezi cha Ulinganisho
  • Yeye ana tabia kama baba yake.
  • Ana ujuzi kama mwalimu mzuri.

Kielezi cha Tamaa
- Kama ningekuwa mimi, nisingeweza kuvumilia.

Unataka mifano zaidi? 😊
====
Kielezi cha sharti na tamaa pamoja kilinganisho.

Kwa kichwa cha habari cha uzi huu, matumizi ya neno kama inaoneka Kuna pande mbili Zina zungumzwa nazo ni 1. Rais Samia na 2. Rais na Amiri Jeshi .

Ni kuulize, unatilia wasiwasi Urais na Uamiri Jeshi wake? Kwa nini hauamini Yeye ni Rais na Amiri Jeshi?

Maelezo yako yanaonyesha Kuna vitu hamumwambii ukweli. Na hapa ndipo mnaonekana wabaya kwake na sisi wananchi.
 
Ukitaka kuongea umeambiwa uwanja uko wazi mnakaribishwa ila kama mnataka kuleta vurugu, wizi na uharibifu wa mali za watu uwanja upo wazi pia mnakaribishwa.

Mtapokelewa vile mtakavyokuja, hakuna huruma kwa wahalifu.
Nadhani wewe ni shabiki maandazi na huenda wewe ndiye mchochezi.

Watu tunataka kuliweka taifa likae sawa nyie mnaongelea mauaji sijui na mavitu gani? Hivi mnadhani wakianzisha hizo vurugu ambao hatuhusiku tutabaki salama?

Usifurahie kutumia mtutu kuua watanzania ambao ndio wenye nchi.

Kaeni chini muongee. Iundwe tume huru wakuwajibishwa awajibishwe. Hakuna aliye mkubwa kuzidi Tanzania. Hata serikali inawekwa na watanzania
 
Hata sikuelewi unataka kusemq
Hata sikuelewi unataka kusema nini naona unaleta porojo Amiri Jeshi kaongea jana kamaliza kila kitu.

Mlidhani Rais anakuja kuwabembeleza!? Yaani mchome nchi na mtake kupindua serikali halafu aje kuwachekea

Iko hivi
1. Mkitaka ustaarabu na mazungumzo mtasikilizwa kwa ustaarabu na mtaeleweka
2. Mkitaka vurugu yaani mtakutana na nyundo mpaka mtajua hamjui
 
Kuliweka taifa likae sawa kwa kuchoma miundombinu na kupora mali za watu pumbuvu kabisa.
 
Unataka kuangusha serikali unadhani utakutana na nini? Wanaochochea hizi vutugu wanajua ndiyo maana wamejificha huko waliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…