PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vijana wa Kitanzania bila kuambiwa ukweli katika nyakati kama hizi, wengi aidha wataozea jela na wengine wataishia kaburini na kuwaachia ndugu zao majonzi. TEC wanachofanya sio sawa, hawana hekima wala busara kuoan amani inatawala kwenye nchi hii na hiyo ndio hulka ya RC duniani.
 
Amiri jeshi mkuu ndio anaongea kwa mipasho kama muimba taarabu? Aisee kweli sheikh ubwabwa umejaza mavi kichwani
 
Amiri jeshi mkuu ndio anaongea kwa mipasho kama muimba taarabu? Aisee kweli sheikh ubwabwa umejaza mavi kichwani
Tarehe 9 toka na Bwana ako huone mipasho.
 
Trump yuko wapi asaidie hapa!..
πŸ˜…πŸ˜…
 
Attachments

  • IMG_1230.jpeg
    221.2 KB · Views: 29
Umeshiba minofu ya kitimoto πŸ– Sasa unakuja kumtetea mama wa bwana ako Abduli
Machafuko ya baada ya uchaguzi yalikuwa njama ya makusudi ya kuivuruga nchi. Rais Samia alisisitiza kwamba jaribio lolote la kuchochea vurugu litachukuliwa hatua halali na za haraka ili kuwalinda watu na kulinda usalama wa taifa
 
We muislam Gani unabariki uchaguzi wa utapeli?
We muislam Gani unabariki utekaji na mauaji ?
We muislam Gani unabariki watu kumbambikiwa kesi?
We muislam gani unabariki ufisadi huku shule hazina madawati
Ndo maana mnaitwa mashehe ubwabwa wala kitimoto na mnahongwa na mafisadi mpindishe ukweli
Na mlaaniwe nyie na vizazi vyenu, manyoooooko
 
Rais Samia aliomboleza kila mtu aliyepoteza maisha katika machafuko, akitambua maumivu ya pamoja kote Tanzania. Alisisitiza kwamba umoja, ustahimilivu, na uwajibikaji wa pamoja ni muhimu ili kuponya majeraha na kuzuia vurugu za baadaye.
 
Wewe kwenda nyie Wagalatia na Maaskofu wenu mna chuki kubwa na Samia sababu ya Uislam wake pumbavu kabisa.
 
Hotuba ya kahaba mchambaji..
 
Hotuba ya kahaba mchambaji..
Wewe kwenda nyie Wagalatia na Maaskofu wenu mna chuki kubwa na Samia sababu ya Uislam wake pumbavu kabisa.
Tarehe 9 tena uchome vituo vya mafuta na vituo vya mwendokasi kama basha wako atakupata tena.
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Sasa Trump ni nani? Kwamba yeye ndiyo kiranja wa dunia au?

Mbona hamseni kuwa mmechochea ile violence na killings! Nyie ni perpetrators wa machafuko ya Oktoba 29 kwa hiyo tulieni wakati dola inaweka mambo sawa!..

Mtajua hamjui safari hii! Mmechezea sana hii serikali kwa muda mrefu sana.
 
Ameongea kama kiongozi wa dini ya kiislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…