Umeawaza kama mimiKama wengine wanatumia muda wao kuandika na huyu anatumia muda wake kufanya documentary tofauti yao ni nini? Zote ni records. Huku ni kutafuta sababu za kulalamika bila sababu za msingi kama kawaida ya watanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeawaza kama mimiKama wengine wanatumia muda wao kuandika na huyu anatumia muda wake kufanya documentary tofauti yao ni nini? Zote ni records. Huku ni kutafuta sababu za kulalamika bila sababu za msingi kama kawaida ya watanganyika.
Hawana bundle za ku upload.Serikali iache kutaka kumfanya rais awe movie star.
Iweke mazingira mazuri kwa movies za Tanzania kufanya vizuri kimataifa.
Kila nikiangakia Netflix naona movies za Ki Nigeria na Kikenya kibao.
Za Tanzania sizioni.
Kwa nini?
Na hichi ndicho anachofanya mheshimiwa Rais, kwani hujui kwamba kuna aina mbili za fasihi?Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake
Usijitoe ufahamu. Uandishi wa vitabu ni utulivu Ikulu na mara nyingi hufanyika usiku wa manane kama sehemu ya kutafakari. Ya kina Uwoya, Samia, Elizabeth nk unalazimika kwenda location na unaongozwa na director hujiongozi kama kitabu. Utasikia start...cut...dah. nchi yangu.Na hichi ndicho anachofanya mheshimiwa Rais, kwani hujui kwamba kuna aina mbili za fasihi?
Sasa yeye ametumia hiyo aina ya pili, kwahiyo yupo sawa tu
Rais Putin alishiriki katika Documentary ya "Crimea Back Home" ikionyesha namna alivyoshiriki kukosa maisha ya Rais wa Zamani wa Ukraine aliyechaguliwa kidemokrasia Lakini akapinduliwa na US+EU 2014 zikishirikiana na Nazi patriotic group!Ni documentary sio movie per se, Hata Royal Tour ni documentary sio kwamba ni movie ya kuigiza
Viongozi kibao wameshafanya documentary kama hizo,
Haya bwashee, endelea kuteseka, ila fahamu kwamba fasihi ina namna nyingi ya kuwasilishwa, kama umefahamu ya vitabu basi ujue kuna na aina ya pili ulipaswa kuifahamu kabla ya kulalamikaUsijitoe ufahamu. Uandishi wa vitabu ni utulivu Ikulu na mara nyingi hufanyika usiku wa manane kama sehemu ya kutafakari. Ya kina Uwoya, Samia, Elizabeth nk unalazimika kwenda location na unaongozwa na director hujiongozi kama kitabu. Utasikia start...cut...dah. nchi yangu.
Nafahamu hiyo documentary. Putin alishiriki akiwa siyo seating president. Alikuwa PM akisaka Urais na ilitumika kama sehemu ya kampeni.Rais Putin alishiriki katika Documentary ya "Crimea Back Home" ikionyesha namna alivyoshiriki kukosa maisha ya Rais wa Zamani wa Ukraine aliyechaguliwa kidemokrasia Lakini akapinduliwa na US+EU 2014 zikishirikiana na Nazi patriotic group!
Kweli Marais wanashiriki Documentary.
Nafahamu hiyo documentary. Putin alishiriki akiwa siyo seating president. Alikuwa PM akisaka Urais na ilitumika kama sehemu ya kampeni.
| Vladimir Putin (3rd and 4th terms) | 2012–present |
Siku hizi mambo yamerahisishwa tu, hakuna mambo ya mafiles, ni mwendo wa kubofya tu kwenye mfumoBandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense.
Hapa ni ushauri Samia achague kutumikia wananchi kama Mkuu wa nchi au ajiunge na wasanii wa Bongo Movie. Why?
Kuandaa movie kunahitaji muda wa mazoezi na majaribio katika locations zitakazoelekezwa na director. Msanii lazima awepo location. Movie moja inaweza kuchukua hata miezi sita na zaidi. Najiuliza Rais anapata wapi muda wa kushiriki movie na Mchina? Hivi kweli tuko serious?
Magufuli alilalamika kwamba kazi ya Urais ni ngumu maana hata muda wa kulala hupati na ukipata unakuta umelala na rundo la mafaili yanakusubiri kuyasoma na kutolea uamuzi. Rais Samia Suluhu Hassan yeye ana muda wa kucheza film kweli tuko serious?
Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake. Sisi Rais anacheza movie. Ama kweli huu ndio muda wapigaji hutumia kuiba fedha za umma. Khaaa!
Nimechoka!
Ukiona wenye Akili Kubwa wanakudharau jua ya kwamba si tu hufai bali hata Akili tu huna.Bandugu,

Pole sana.Ukiona wenye Akili Kubwa wanakudharau jua ya kwamba si tu hufai bali hata Akili tu huna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UNAWEZA KUTA HATA HELA ILIYOTUMIKA NCHEMBA AMEKOPA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Irene Uwoya. LolKwa Marekani mfano huwezi kuwa Rais bila kwanza kuandika ama kitabu au vitabu au hata makala kuonesha falsafa ya utawala wako. Kwa kuwa Samia aliokota Urais basi tulitegemea kuona maandiko yake kutuonesha ana visheni ipi tuendako. Wa kwetu wengi huandika biography baada ya kuondoka. Uchawa usikuondolee walau uwezo kidogo wa kufikiri. Mwalimu Julius Nyerere aliandika vitabu vingi sana na makala akiwa madarakani Hali iliyompa heshima duniani hadi leo. Kwa kauli hii ya Samia nimeamini docs nyingi sana anasaini bila kujua amesaini nini maana hana muda. Hata DP World walimchomekea tu mezani kurasa 50 akasaini. Kama ni documentary kwa asisubiri astaafu kwanza badala ya kushindana na kina Irene Uwoya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijitoe ufahamu. Uandishi wa vitabu ni utulivu Ikulu na mara nyingi hufanyika usiku wa manane kama sehemu ya kutafakari. Ya kina Uwoya, Samia, Elizabeth nk unalazimika kwenda location na unaongozwa na director hujiongozi kama kitabu. Utasikia start...cut...dah. nchi yangu.
Serikali ya kikwete ilikuwa na mikataba ya damu na wauza dawa za kulevya...moja ya mkataba ni icho kipengere cha kuto kuwataja ...vipo vingi ila hicho ni kimoja waponimeshangaa eti ,tuliowakamata na madawa ya kulevya hatutawataja
Hujui kama hujui. Anaitangaza nchi wewe kweli ni mbwabwajaji mbumbumbu wahediBandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense.
Hapa ni ushauri Samia achague kutumikia wananchi kama Mkuu wa nchi au ajiunge na wasanii wa Bongo Movie. Why?
Kuandaa movie kunahitaji muda wa mazoezi na majaribio katika locations zitakazoelekezwa na director. Msanii lazima awepo location. Movie moja inaweza kuchukua hata miezi sita na zaidi. Najiuliza Rais anapata wapi muda wa kushiriki movie na Mchina? Hivi kweli tuko serious?
Magufuli alilalamika kwamba kazi ya Urais ni ngumu maana hata muda wa kulala hupati na ukipata unakuta umelala na rundo la mafaili yanakusubiri kuyasoma na kutolea uamuzi. Rais Samia Suluhu Hassan yeye ana muda wa kucheza film kweli tuko serious?
Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake. Sisi Rais anacheza movie. Ama kweli huu ndio muda wapigaji hutumia kuiba fedha za umma. Khaaa!
Nimechoka!
Kufundisha na kuelekeza kwa nadharia, vitendo, senema, maandishi N. K, zote hizi ni njia za kufikisha jumbe kwenye hadhara inategemea unatumia njia gani kufikisha ujumbe,Bandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense.
Hapa ni ushauri Samia achague kutumikia wananchi kama Mkuu wa nchi au ajiunge na wasanii wa Bongo Movie. Why?
Kuandaa movie kunahitaji muda wa mazoezi na majaribio katika locations zitakazoelekezwa na director. Msanii lazima awepo location. Movie moja inaweza kuchukua hata miezi sita na zaidi. Najiuliza Rais anapata wapi muda wa kushiriki movie na Mchina? Hivi kweli tuko serious?
Magufuli alilalamika kwamba kazi ya Urais ni ngumu maana hata muda wa kulala hupati na ukipata unakuta umelala na rundo la mafaili yanakusubiri kuyasoma na kutolea uamuzi. Rais Samia Suluhu Hassan yeye ana muda wa kucheza film kweli tuko serious?
Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake. Sisi Rais anacheza movie. Ama kweli huu ndio muda wapigaji hutumia kuiba fedha za umma. Khaaa!
Nimechoka!
Kwamba Tanzania haijulikani au wewe umesoma jiografia.Hujui kama hujui. Anaitangaza nchi wewe kweli ni mbwabwajaji mbumbumbu wahedi