Kuitangaza kiutalii. Kwani unadhani kila mtu duniani hapa anaijua Tanzania. Huoni hata kwenye tvKwamba Tanzania haijulikani au wewe umesoma jiografia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuitangaza kiutalii. Kwani unadhani kila mtu duniani hapa anaijua Tanzania. Huoni hata kwenye tvKwamba Tanzania haijulikani au wewe umesoma jiografia.
Wizara husika inafanya nini Hadi Rais ashindane na Irene Uwoya?Kuitangaza kiutalii. Kwani unadhani kila mtu duniani hapa anaijua Tanzania. Huoni hata kwenye tv
Mwenzenu alishajiuzuru uraisBandugu,
Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense.
Hapa ni ushauri Samia achague kutumikia wananchi kama Mkuu wa nchi au ajiunge na wasanii wa Bongo Movie. Why?
Kuandaa movie kunahitaji muda wa mazoezi na majaribio katika locations zitakazoelekezwa na director. Msanii lazima awepo location. Movie moja inaweza kuchukua hata miezi sita na zaidi. Najiuliza Rais anapata wapi muda wa kushiriki movie na Mchina? Hivi kweli tuko serious?
Magufuli alilalamika kwamba kazi ya Urais ni ngumu maana hata muda wa kulala hupati na ukipata unakuta umelala na rundo la mafaili yanakusubiri kuyasoma na kutolea uamuzi. Rais Samia Suluhu Hassan yeye ana muda wa kucheza film kweli tuko serious?
Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake. Sisi Rais anacheza movie. Ama kweli huu ndio muda wapigaji hutumia kuiba fedha za umma. Khaaa!
Nimechoka!