Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

Kama wengine wanatumia muda wao kuandika na huyu anatumia muda wake kufanya documentary tofauti yao ni nini? Zote ni records. Huku ni kutafuta sababu za kulalamika bila sababu za msingi kama kawaida ya watanganyika.
Umeawaza kama mimi
 
Serikali iache kutaka kumfanya rais awe movie star.

Iweke mazingira mazuri kwa movies za Tanzania kufanya vizuri kimataifa.

Kila nikiangakia Netflix naona movies za Ki Nigeria na Kikenya kibao.

Za Tanzania sizioni.

Kwa nini?
Hawana bundle za ku upload.
 
Moja ya sifa za Marais huko duniani ni kuandika vitabu na makala kuonesha fikra, mawazo na falsafa yake
Na hichi ndicho anachofanya mheshimiwa Rais, kwani hujui kwamba kuna aina mbili za fasihi?
Sasa yeye ametumia hiyo aina ya pili, kwahiyo yupo sawa tu
 
Na hichi ndicho anachofanya mheshimiwa Rais, kwani hujui kwamba kuna aina mbili za fasihi?
Sasa yeye ametumia hiyo aina ya pili, kwahiyo yupo sawa tu
Usijitoe ufahamu. Uandishi wa vitabu ni utulivu Ikulu na mara nyingi hufanyika usiku wa manane kama sehemu ya kutafakari. Ya kina Uwoya, Samia, Elizabeth nk unalazimika kwenda location na unaongozwa na director hujiongozi kama kitabu. Utasikia start...cut...dah. nchi yangu.
 
Ni documentary sio movie per se, Hata Royal Tour ni documentary sio kwamba ni movie ya kuigiza

Viongozi kibao wameshafanya documentary kama hizo,
Rais Putin alishiriki katika Documentary ya "Crimea Back Home" ikionyesha namna alivyoshiriki kukosa maisha ya Rais wa Zamani wa Ukraine aliyechaguliwa kidemokrasia Lakini akapinduliwa na US+EU 2014 zikishirikiana na Nazi patriotic group!

Kweli Marais wanashiriki Documentary.
 
Rais wa nchi anacheza movie!? Nani atatuondolea aibu hii?
 
Haya bwashee, endelea kuteseka, ila fahamu kwamba fasihi ina namna nyingi ya kuwasilishwa, kama umefahamu ya vitabu basi ujue kuna na aina ya pili ulipaswa kuifahamu kabla ya kulalamika
Vinginevyo badilisha madai yako
 
Nafahamu hiyo documentary. Putin alishiriki akiwa siyo seating president. Alikuwa PM akisaka Urais na ilitumika kama sehemu ya kampeni.
 
Siku hizi mambo yamerahisishwa tu, hakuna mambo ya mafiles, ni mwendo wa kubofya tu kwenye mfumo
 
Ukiona wenye Akili Kubwa wanakudharau jua ya kwamba si tu hufai bali hata Akili tu huna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Irene Uwoya. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimeshangaa eti ,tuliowakamata na madawa ya kulevya hatutawataja
Serikali ya kikwete ilikuwa na mikataba ya damu na wauza dawa za kulevya...moja ya mkataba ni icho kipengere cha kuto kuwataja ...vipo vingi ila hicho ni kimoja wapo
 
Hujui kama hujui. Anaitangaza nchi wewe kweli ni mbwabwajaji mbumbumbu wahedi
 
Kufundisha na kuelekeza kwa nadharia, vitendo, senema, maandishi N. K, zote hizi ni njia za kufikisha jumbe kwenye hadhara inategemea unatumia njia gani kufikisha ujumbe,
°TUACHE UJINGA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…