Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

Tangu Mjema ateuliwe kua mwenez wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badalayake RC Simiyu ana kaimu,hii ya kukaimu muda mrefu ina chelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.

Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
Wanateuliwa wenye shughuli zao ili kukwamisha wanayosimamia.
 
Tangu Mjema ateuliwe kua mwenez wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badalayake RC Simiyu ana kaimu,hii ya kukaimu muda mrefu ina chelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.

Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
Sasa mkuu wa mkoa ana impact gani? Anaweza asiwepo miaka 5 na kazi zikaenda kama kawaida
 
Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.

Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.

Ccm wana zaidi ya miaka 46 ni lini mipango ya maendeleo na utekelezaji umefanikiwa kwa ufanisi. Ata aje nani shughuli ni ngumu
 
Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.

Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
RC anatekeleza mpango gani wa maendeleo? yeye ndiyo anatoa fedha? Yeye ni DED/Diwani?
 
Unataka kusemaje vyeo vya rc vifutwe ama? inabidi katba ibadilike maana wanateuliwa kwa mujibu wa katba tuliyo nayo iv sasa.na kama mikoa mingine wapo bas na shy aletwe.
 
Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake.

Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
Wiki hii haishi tulieni
 
mimi binafs kazi ya mkuu wa mkoa/wilaya sioni wala siijui sababu watu wachini yao waalibu wanawaona bila kuwakemea
 
Back
Top Bottom